Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Acha urongo Mo hajajenga Namfua zaidi zaidi alitudanganya atatuletea nyasi bandia na hakuleta
Huo uwanja umekaa zaidi ya miaka 30 haujawai kukamilika Mo alitia hela juzi nimepita hapo umekamilika hata kama hajaleta nyasi mbwiga wewe.
 
Ni kweli mo amekosea, lakini kawa frustrated, wachambuzi mo, yanga mo, huku manara. Mo ni binadamu, cha kumshauri tu apunguze matumizi ya mitandao ya kijamii.
MO mpuzi sana, mi ni simba na nilikua namtetea lakini ni mpuzi, Chama ameajiliwa na simba ko hata akiondoka atabaki kua mchezaji wa simba. Watu wanaangaika kumpuuza manara yeye unakuja kuendeleza mjadala. Aache uswahili
 
Acha uongo Mo hajatoa hata mia
Nani katoa?labda najibishana na mtu wa Ilongero huko.
Mo jitihada zake ndo uwanja Namfua ukamalizika akiwa Mbunge.
Nimecheza sana mpira hapo kipindi ni magofu tu.
Hata km tunamchukia mtu tuwe positive kwa aliyofanikisha.
 
Simba wanaruka na kukanyagana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuruka na kukanyagana kwetu ndiyo furaha yako[emoji15][emoji15]
 
No ni aina dukani ya watu wanaopenda umaarufu sana,bahati mbaya umaarufu haujawahi kumtaka.Hana kabisa personality kama walionayo matajiri wengine hapa Tz na huko duniani,nafikiri ni kwasababu hajahangaika kuzitafuta ndomaana hafanani kitabia na self-made billionaires.


Sasa kulikuwa na haja gani ya boss wa club kwenda kucomment shombo kama zile kwenye live ya CHAMA? Aiseeeh[emoji23]
Huyu jamaa mpuuzi sana...kwani chama anacheza bure....ana dharau sana huyu bwege...
Yaani anafanya kama anamsaidia Chama...
Wahindi wengi wana akili hizi za kifala..
 
MO ni Mswahili sana tena sana. Bora hata Wanawake wa Kizaramo.

Yaani unataka kila adui yako awe adui ya mwingine? Pumbavu!.

Na naliona anguko la timu yetu ya Simba so soon.
Sikutegemea jamaa angekuwa na utoto kiasi hiki......kazingua sana kusema kweli.
 
Kabisa, na MO amekasirika koz ChamA hakumpost.
Yeye acheze na players wa ndani ambao hata wakitemeshea ugali Simba Sc na kudhurumiwa hawatakuwa na pa kwenda, ila professional players kama CHAMA, hawawezi kuteteleka kwakua Tz sio nchi yao.

Na asidhani mpira ni hela tu,wakimfitinisha na key players atajikuta nafasi ya nane au saba hadi reputation ya Simba Sc iteteleke.Awaache wachezaji wacheze na asiwaingize kwenye mabifu yake.
 
Back
Top Bottom