Ajiandae Barbara anaweza kumshughulikia, ataanza kulala kwenye makochi wakienda nje ya nchi🤣No ni aina dukani ya watu wanaopenda umaarufu sana,bahati mbaya umaarufu haujawahi kumtaka.Hana kabisa personality kama walionayo matajiri wengine hapa Tz na huko duniani,nafikiri ni kwasababu hajahangaika kuzitafuta ndomaana hafanani kitabia na self-made billionaires.
Sasa kulikuwa na haja gani ya boss wa club kwenda kucomment shombo kama zile kwenye live ya CHAMA? Aiseeeh😂
Hillarious....Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.
Mo Dewji alivamia instagram live feed ya Chama na kumuuliza ni nani aliyelipia hela ya usajili wako ni Haji aliyelipia ? na kuondoka mara moja. Kitendo hicho kimeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki wa Simba.
View attachment 1883140View attachment 1883141View attachment 1883142View attachment 1883143
Haji hakulazwa kwenye makochi, ila alizamia safari ambayo hakuwamo kwenye list ya ticket na hotelHaji alikua analazwa kwenye makochi huyu atalazwa nje kabisa mvua ikiwa inanyesha
Ninachojua mimi mafanikio ya mpira mimi mpira sio pesa tu, saikolojia na mapenzi ya wachezaji pamoja na watu wanaozijua weakness ya team zetu hizi (fitina) ni msingi mkubwa sana wa mpira wa kiafrika.Ajiandae Barbara anaweza kumshughulikia, ataanza kulala kwenye makochi wakienda nje ya nchi🤣
Dishonest....Ninachojua mimi mafanikio ya mpira mimi mpira sio pesa tu, saikolojia na mapenzi ya wachezaji pamoja na watu wanaozijua weakness ya team zetu hizi (fitina) ni msingi mkubwa sana wa mpira wa kiafrika.
Sasa boss unaelipa mishara wachezaji,mtu anaetakiwa kuheshimiwa anawezaje kuingilia hivyo uhuru wa wachezaji katika maisha yao ya nje ya kazi? Tena kwenye insta live kabisa sehemu ambayo kila mtu anaweza kuona na anauliza maswala ya kijinga kabisa eti who paid for you transfer, unategemea wachezaji watajenga mentality gani?
Tabia za kiswahili ni kutaka kila mtu akosane na aliokosana nao yeye.
Akija kujifitinisha na wachezaji kisha kusababisha migomo ya wachezaji (hasa professional players wa nje), ndo atajua kuwa mpira hauhitaji pesa tu.kama ni kweli mo ni mjinga kwa mtindo huu atampa umaarufu zaid Haji bifu lake na haji lisiusishe wachezaji