Pool Table JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 1,680 Reaction score 2,889 Aug 7, 2021 #221 Chama kazingua si angempigia simu akamsifia kwani lazima aende insta live harafu kumsifia adui wa bosi wako ni ungesee.
Chama kazingua si angempigia simu akamsifia kwani lazima aende insta live harafu kumsifia adui wa bosi wako ni ungesee.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Aug 7, 2021 #222 maghambo619 said: Je, mchezaji ni sawa kuongelea mgogoro unaoendelea wa club yake? Tuanzie hapa kwanza! Click to expand... hakuna mgogoro Simba ila unaweza kutokea kama mambo madogomadogo yatakuzwa
maghambo619 said: Je, mchezaji ni sawa kuongelea mgogoro unaoendelea wa club yake? Tuanzie hapa kwanza! Click to expand... hakuna mgogoro Simba ila unaweza kutokea kama mambo madogomadogo yatakuzwa
maghambo619 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 1,537 Reaction score 1,360 Aug 7, 2021 #223 Ndio waandishi njaanjaa kama priva wanachochea vitu vidogo, kweli mwandishi unascreebshort live chart na kuifanya kuwa habari? rodrick alexander said: hakuna mgogoro Simba ila unaweza kutokea kama mambo madogomadogo yatakuzwa Click to expand...
Ndio waandishi njaanjaa kama priva wanachochea vitu vidogo, kweli mwandishi unascreebshort live chart na kuifanya kuwa habari? rodrick alexander said: hakuna mgogoro Simba ila unaweza kutokea kama mambo madogomadogo yatakuzwa Click to expand...
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Aug 8, 2021 #224 Daudi Mchambuzi said: Sasa msemaji wa club kwanini halipiwi ndege na hotel hadi inabidi alale kwenye makochi ya reception? Click to expand... Ugenini anaenda kuisemea nini klabu?
Daudi Mchambuzi said: Sasa msemaji wa club kwanini halipiwi ndege na hotel hadi inabidi alale kwenye makochi ya reception? Click to expand... Ugenini anaenda kuisemea nini klabu?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Aug 8, 2021 #225 Lupweko said: Ugenini anaenda kuisemea nini klabu? Click to expand... Hizi ndiyo akili za pisi ya gabachori
Lupweko said: Ugenini anaenda kuisemea nini klabu? Click to expand... Hizi ndiyo akili za pisi ya gabachori
UP TO DATE JF-Expert Member Joined Apr 20, 2021 Posts 740 Reaction score 903 Aug 8, 2021 #226 Upuuzi kwelikweli...