MO Dewji akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa FIFA Gianni Infantino, amkabidhi jezi ya Simba SC

Mimi nahitaji hirizi Kama ya kagere
Wewe ongea tu. Sisi Simba kupitia MO tunamsaka Benerd Morisson kwa gharama yoyote tuondoe hiyo kiburi yenu mlonayo. Huyu jamaa amefanya makubwa Orlando Pirates. Tunataka aje kushirikiana na Chama kuonesha maujuzi.
 
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.. hatimaye jezi ya Mnyama Mkali yamfikia mwenye mpira wake huku huku aliko.

Huu ni uthibitisho wa ubora na thamani ya klabu yetu ya Simba SC.
πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…