MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

Siku ile pale mgeni rasmi alikuwa Rais wa Nchi hivyo protocols na masuala ya ulinzi yalikuwa chini ya watu wa Serikali/Usalama..na inapofika hapo kipaumbele ni Usalama wa Rais na si vinginevyo hivyo sio kila mtu anakuwa pale VVIP.
Mo inabidi alifahamu hili au angeuliza kwanza kabla ya kuandika..anajishushia brand yake.
 
Sasa uoni kama ukiwa na akili wewe inatosha mbona unajipa umuhimu kwenye maisha ya watu mzee 😂😂😂 wahediii kabisa 🚮🚮🚮
Nenda zako, idiot! Unampapatia mwanaume mwenzako kwa kumuita bosi kisa ana fedha?
 
Nenda zako, idiot! Unampapatia mwanaume mwenzako kwa kumuita bosi kisa ana fedha?
397AED04-028F-4C5B-A014-9D5DFA1D4371.jpeg
 
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?

View attachment 2713708
Kwani ile TAMAA haijakatika tu? maana ilituambia anakaribia kuikata.
 
Back
Top Bottom