MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

Kajamaa kanapenda kutrend sana....
Kaongelewage kenyewe....
Hili ni igizo. Kweli hii nchi sisi wananchi ni mazoba kukubali kusombwa na usanii wa watu kama hawa. Ndiyo maana mimi siku hizi haya mambo ya Simba na Yanga niliyapiga marufuku kabisa na wala sitaki kabisa kuyasikia. Siwezi kuwasindikiza mafisadi wanaojifanya ni wafadhili wanaotumika kuchota akili za raia ili watawala wazidi kula kwa ulaini.
 
Boss wetu tunampenda sana ila manung'uniko yamezidi, masimango ndio usiseme, kila siku ni kuandikiwa tweet za mipasho na masimango.

Safari ya matumaini sidhani kama tutafika na kama tutafika basi tutafika tumechoka mnooo!


Hii ni muda mfupi uliopita leo kuelekea match ya ngao ya hisani mjini Tanga.
Du. Ndiyo maana tulichukuliwa watumwa kirahisi kabisa. Kumbe huyu ndiyo bosi wako? Si ajabu wewe ni mlalahoi anayeshabikia mambo kama nyumbu bila hata kujua maana.
 
Binafsi napenda utulivu uliopo Yanga pamoja na kwamba ni kama wana bendi ya mtu mmoja. Hizi tweet hata kama ni matani hazileti taswira nzuri kwa Simba. Ni mtazamo wangu tu.
Zinaonyesha utoto sana.Huyu bwana abadilike sasa.
 
Du. Ndiyo maana tulichukuliwa watumwa kirahisi kabisa. Kumbe huyu ndiyo bosi wako? Si ajabu wewe ni mlalahoi anayeshabikia mambo kama nyumbu bila hata kujua maana.
Jiheshimu choko wewe, unatafuta bwana???
 
Bora niwe choko lakini niwe najitambua kuliko kuvamia wahindi na kuwaita ma-bosi wangu. Akili ni kila kitu.
Sasa uoni kama ukiwa na akili wewe inatosha mbona unajipa umuhimu kwenye maisha ya watu mzee 😂😂😂 wahediii kabisa 🚮🚮🚮
 
Mwekezaji mkubwa na tajiri Namba moja nchini Tanzania Mohamed Dewji amelaani kitendo cha Mtoto wake kunyimwa ticket ya VVIP kwenye Sikukuu ambayo mgeni rasmi alikuwa Mh Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan

Bilionea Dewji ambaye ni Mbunge mstaafu wa Singida Mjini amelalamika kwa Umma wa Watanzania Wote kupita ukurasa wake wa twitter

Jumaa kareem 😄😄
 
Hivi huwa mnamuona Elon Musk anapost nini? Mbona sioni mkilalamika.

Akifanya Mo ooh mswahili mara sijui nin? Muacheni afurahie maisha yake na kile anachoamini.

Bando lake, simu yake. Ujumbe unamhusu yeye hajamtukana mtu. [emoji28][emoji28][emoji28].
 
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?

View attachment 2713708
Ila huyu Mwamedi anapenda sana kulalamika, pure mzaramo.
 
Back
Top Bottom