MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

Huyu Mo asiyejua kuandika huyu atakuwa wa Makaratasi. Hivi Try again si kawekwa pale kufanya kazi kwa niaba ya Mo? Hivi CEO si naye ni muajiriwa kweli? Bongonyoso
 
Habari za majukumu wapendwa? Huyu MO ni tajiri mkubwa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, lakini amezidi mno kulalamika, na kujielezaeleza kila anapofanya kitu fulani kwaajili ya Club yetu ya Simba.

Wewe ni bosi, na ukimya ni hulka ya mabosi, punguza kusema sema sana kwenye media, mambo hayo tuachie sisi akina yakhe tuliozoea maisha hayo ya maneno maneno.

IMG-20230810-WA0021.jpg



IMG-20230810-WA0016.jpg


Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Anawapumbaza timu pinzani.
Ila tumekuwa wadhaifu sana wakuu.
 
hawana izo akili
simba ni mbumbumbu tangu awali sema vile unataka aminisha wana akili kubwa

suala la udharirishaji liko palepale
Uzuri wa mbumbumbu ni kwamba akili zipo ila ni kidogo

Yanga hata hizo ndogo hawana
 
So kumbe bado hujastuka?
Mie nishamshtukiaga Tajiri kitambo tu, kwanza hizo akaunti za Twitter na Instagram anazitumia kwa mambo ya Mpira tu tena kuzingua kama hivi ( kama ni kweli ni yeye )

Ila Tajiri kule Linkedin unaona kabisa akaunti ile ina vitu vya maana,picha anazoweka ,clip video ,zote zimeenda shule

Nakubaliana na wewe katika hili
 
Back
Top Bottom