Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mwanangu ukaanzisha na uzi kabisa??Habari za majukumu wapendwa? Huyu MO ni tajiri mkubwa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, lakini amezidi mno kulalamika, na kujielezaeleza kila anapofanya kitu fulani kwaajili ya Club yetu ya Simba.
Wewe ni bosi, na ukimya ni hulka ya mabosi, punguza kusema sema sana kwenye media, mambo hayo tuachie sisi akina yakhe tuliozoea maisha hayo ya maneno maneno.
View attachment 2713728
View attachment 2713729
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Hahahahaha