Mo Dewji amshauri Kocha Omog aachie ngazi, Simba yavunja naye Mkataba

omog anakariri wachezaji ana tabia ya kusugulisha benchi wachezaji wazuri mfano Mo ibrahim angalia alivyodidimiza kipaji cha Manyika afadhali wamemtoa mapema pia mbinu yake kubwa ni ulinzi
 
Manara hanaga sahihi. ? Anyway kila la heri Simba Sports Club
 
Nyie ndio mliokuwa mnadai Yanga ananunua mechi,malinzi na mwesiga wanawahujumu!mikia kila kukicha mnakuja na sbb mpya
Utakuwa umeandikiwa mahali na mumeo, wewe ukaamua kunakili na kuhamishia humu. Una ushahidi wa mimi kuongea huo ushuzi ulioandika? Kwanza yeye Omog ni nani mpaka asitimuliwe? Wamefukuzwa makocha bora duniani, itakuwa yeye?! Kama aliyekuajiri hajaridhika na utendaji wako anakutimua muda wowote bila kujali kelele za yeypte yule. Alaf we unaleta habari za kununua mechi yanga, kuna mtu kaiongelea yanga hapa? Au ndio kujishtukia?
 
Aende tu, kwanza watanzania hakuna tunachokijua wala hatukijui tunachokitaka kwenye michezo. Angebaki hadi mwisho wa msimu, halafu akatoka patupu. Yangekuja majitu hapa na "mathread" yao hapa "oooh tuliwaambia hapa Omog sio kocha!" Afadhali ametupisha, huyo mgeni hata akifeli atakuwa na kisingizio cha ugeni. Yaani watu tunashuhudia mechi kibao tu za ligi, timu inacheza ugoro tu, morali iko chini alafu mwalimu upo tu!! Na umeshindwa kurekebisha hadi mzunguko wa kwanza karibia unaisha upo tu! Baadae unakuja kufungwa na timu isioeleweka, uendeleee kuachwa tu?! Kunyangisi!! Haiwezekani... Ila asisahau tu kufikisha salamu kwa ndugu Jama Mba!!
 
Kocha mmemwonea maana hatuna wachezaji wa viongozi. Hiyo timu hata wakipewa wahitu wa darasa LA 7 inaweza kufanya vizuri.
 
Wanamuonea angefukuzwa mkude na yule shabalala washenzi sana
Asee, hao watu wameniudhi sana. Wafukuzwe au wapigwe adhabu kali ili wajue madhara ya ujinga waliofanya. Shabalala unaenda kupiga penati ya mwisho kisha unampa kipa anadaka kama mpira wa netball? Hovyo sana yule dogo.
 
Aende tu. Na Simba isiishie kwa kocha pekee. Uwekwe mfumo wa kutrack wachezaji na kuwapa "approval rate" kwa kuangalia namna alivyojituma uwanjani. Akipata rate ndogo au ikionekana amecheza chini ya matarajio akatwe sehemu ya mshahara wake. Hii ndio itaondoa ugoigoi wa wachezaji. Zama za kufungwa kijinga halafu kusema ndio mchezo utadhani mechi za chandimu ikome ndani ya Simba.
 
Achana na mnyama. Kule Jangwani mnakoendeshwa kisanyansi kuna nini cha maana?
 
Inatosha aisee! Hana mbinu mpya kwa wachezaji waliopo. Anapanga kwa kukariri. Zidane amebeba makombe matano lakini atatolewa mkuku. Omog hana hata kikombe cha kahawa alaf avumiliwe! Utakuwa uzwazwa huo.
Umesahau cha FA!!!?
 
Jamuhuri aliupinga hadharani usajili wa Simba mkamuona chizi....Makofia nae apumzike tu ..miaka 5 kila siku mnajenga timu..nasikia mnaenda kuchukuwa kipa wa harambee stars kwi kwi kwi....Tafuteni wachezaji kwenye mashindano ya CAF..ligi za nchi nyingine mbovu sana..usengimana.Mavugo walikotoka kila mwaka walikuwa top scorer..hapa mmh..Gyan veepee
 
Hilo nalo limechangia maana ni aibu iliyoje kupgwa na timu ya daraja la pili ukiwa na kikosi cha bilioni kadhaa??

Ila kumbukeni kuwa simba hawa hawa wa simba itabidi wabadlike kimfumo,, maana ni kama walikuwa washazoea kucheza kiomog omog vile
 
Nadhani kule Adam kuna watu wanafahsmu mpira. Sio hawa wapiga dili wa Yanga na Simba. Walimfukuza Omog kwa ku "under perform ", wakamwaga wachezaji "mizigo" JB na SK,o Simba ikawadaka.In exchange ikamtimua (??) Ibrahim Ajib!
Serembe wa Zanzibar Horoes.amezunguka karibuni nusu ya timu za VPL akiachwa eti kiwango kimeshuka. Leo ndio nahodha wa hiyo Heroes.
Maskauti wetu wote ni wapiga dili tu!
 
Manara alisema huyo ndio kocha bora KBS ktk ligi yetu ambae amewahi kuwa kocha kwenye kombe LA dunia na pia kushinda ubingwa ktk mashindano ya Caf.
Lkn Leo hii ndio amekuwa kocha mbovu KBS ktk ligi.
 
kocha sio busara kymuobdoa kwa matokeo ya mechi moja
 
Omog ilikua atimuliwe toka msimu uliopita uwezi kuongoza ligi kwa tofauti ya point 11 alafu ukose ubingwa Lotation zake ni za kipuuzi upangaji wa kikosi ni ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…