Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwwhiyo mkuu unaamini hana hatia yoyote ??Wamemuondoa ili kuwaridhisha mashabiki wao.
Nyie ndio mliokuwa mnadai Yanga ananunua mechi,malinzi na mwesiga wanawahujumu!mikia kila kukicha mnakuja na sbb mpyaInatosha aisee! Hana mbinu mpya kwa wachezaji waliopo. Anapanga kwa kukariri. Zidane amebeba makombe matano lakini atatolewa mkuku. Omog hana hata kikombe cha kahawa alaf avumiliwe! Utakuwa uzwazwa huo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wampe dokta shika timu waendeleze komedi
Ngoja akabidhiwe tuone mengine zaiditwitt ya mwenye simba... ilikuwa ina nguvu kuliko hisa za wanachama...! "sijakabiziwa simba ila kwa busara ni bora kocha aiache timu, mimi kama mwanachama...." hii twitt mzee ilikuwa ina kitu ndani yake... angekabidhiwa tungeona mambo ya wamiliki wa chelsea wanatumia pesa zao kufukuza na kununua...
F.A last season... Au tumeshasahau?Inatosha aisee! Hana mbinu mpya kwa wachezaji waliopo. Anapanga kwa kukariri. Zidane amebeba makombe matano lakini atatolewa mkuku. Omog hana hata kikombe cha kahawa alaf avumiliwe! Utakuwa uzwazwa huo.