Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Mudi Dewji kakosea kutamka mambo ya mikopo binafsi wakati issue inahusu suala la Simba. Hamisi kama ni mwanachama halali wa Simba naye kakosea, alitakiwa kutumia majukwaa halali ya kikatiba ya Simba kuhoji uwekezaji huo. Hata hivyo, Hamisi kamjibu kiutu uzima Mudi juu ya suala la mkopo.
 
Kwahiyo MO amewekeza 20b ili kuihamisha SSC kutoka bongo kuipereka ligi ya nchi ipi?..au billionaire MO atakua anaweka mapesa tuu kila mwaka Kwa kuwa yeye na Simba damu damu?
Kwa akili yako Club kama ya Simba kuna Mwendawazimu gani anaweza toa 20Bil sh awekeze akitegemea itarudi ndanii ya Mwaka????? Nani anaweza fanya huoo utumbooo???? Achana na pesa za kwenye makaratasi kijanaa ngoja MO atoke alafu tafuteni Lofa ambae atadeposit hiyo hela mara moja kama mnavyotaka nyie... Hakuna biashara isiyokuwa na faida lakini MO akisema atoe Bil 20 walahi haitarudiii... Hela za bongo hizi vod wanakupa mil 100[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849]

Shukuruni timu inaenda hayo mengine mtaishia kulia lia tuu..
 
Hakuna utu uzimaaa... Hamisi kazinguaa!! Anakomalia UCEO utadhani ana hisa simbaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo sio CEO tatizo ni mkopo wa pikipikii.. Kwani huyo Sezo alifukuzwa simbaa????
 
Kweni kabla ya mo kulikua hakuna simba? Au kabla ya Gsm kulikua hakuna Yanga?
 
Anachosema Kigwangala leo hakina nguvu sababu Klabu inapata matokeo, Lakini siku matokeo yanakuwa kinyume MO atapigwa mawe kweli bila kutoa hizo Bill 20.
Sasa kuna wapuuzi wachache wanataka MO aweke Bil 20 chapa hapo ndo janja nyingine zianze vile wabongo ni weziii kila idaraa yani wataziiiba tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh..umenifanya niwaze Sana kuhusu ligi ya Tanzania..SASA kama leading teams za Simba na yanga mnasema wako mahututi the rest of the league si ni balaa?..soccer ni mchezo unaopendwa Sana nchini na Duniani, kuna fursa nyingi za kutengeneza pesa.. billionaires wanajua.. wanachama hawana knowledge kubwa kwenye business side ya mpira, wao wanataka magori na chenga tuu..mpira na betting companies ndio channel nyingine watu wanapiga pesa..SASA nyie mmebaki kwenye mapenzi na timu wenzenu wanapiga pesa. No foolish billionaire will spend their money for no reason, even charity work kwao ni opportunity to make more.
 
Kweni kabla ya mo kulikua hakuna simba? Au kabla ya Gsm kulikua hakuna Yanga?
Hayo ya kablaa wewe hukuwepoo na pia Kabla ya MO simba ilikuwa na Uwanja??? Toka mwaka 1936 hadi leo simba suala la uwanja ilikuwa ndotoo ya kwenye makaratasi au unadhani ule uwanja MO katumia hela za viingilio kujenga????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inashngaza sana shabiki wa simba kukaa na kuongea vitu ambavyo kama hufikiriii... Unadhani kuendesha club mwaka 2000 ni sawa na leo???? Mambo yanabadilika waulize Yanga wanakwama wapi baafa ya Manjo kuondoka...mbona toka miaka hiyo hawakuwahi tembeza bakuli...uliza
 
Hivi Mahamad toka aseme waliomteka walimfunga khanga moja wakawa wanaishi nae amekuwa hovyo kiasi hicho
 
Nashukuru Kwa kusema reality.. nimekuelewa sana
 

Naunga mkono hoja.

Jibu la Mudi siyo la msingi inaonyesha alipaniki akatoka nje ya mstari. Kigwa kama shabiki wa Simba ana hoja ya msingi lakini pia dialogue ya majibu yake ni facts na yametulia.
 
Weka salary slip yake mpumbavu wewe. We unasikia tu maneno ya mtaani. Pesa zao zinapitia benki na kwa taarifa yako WANAKATWA P.A.Y.E au unadhani ni siri? Na hivi kila mwajiriwa lazima awe na TIN ndio utaumbuka mchana kweupe bwege wewe.
 
Hela gani Bongo hapaa???? Kwani sportpesa ndo Kampuni pekee la Kamari linasupport timu za bongo sasa wewe sportpesa unategemea hela watakayotoa kwa Simba ndo watakayowapa EVERTON???? MO kawekeza kwa namna ambayo anaona atapata Faidaaa no free lunch dunia ya leoooo hakunaa.. Sasa nyie mnakomaa aweke Bil 20 unadhani yeye ni falaa????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aweke zitarudi labda miaka 10 ijayooo sasa hakuna fala wakufanya biashara ya hivyoo.. Mpira wa bongo hakuna Pesa kuna Ushabiki tu Kesi imeshaa.
 
Mo anaweza kuwa right or wrong kutegemea na nini kiko nyuma ya pazia.
 
Ahsnte mkuu Hiyo ndo hali halisi achana na Story za kwenye makaratasi timu za Bongo ukitoa Simba na Azam zilizobaki hata suala la Mloo ni changamotoo...!!
Nashukuru Kwa kusema reality.. nimekuelewa sana
 
Hujui mchakato mzee unatupigia kelele, hizo hisa 51% zitasajiliwa soko la hisa nazitepewa thaman ya fedha kila mwanachama akitaka ataeenda kununua hisa ,wanachama wote watabakiwa na 5% ndio hazitouzwa,lkn asilimia 46 zitauzwa kwa kwa wanachama nahakuna mtu atakaeruhusiwa kununua zaida ya 10%.

Sasa nikuulize hizo hisa mbona hazijasajiliwa DSE?.
 
Hiyo brand ya SSC unahisi INA wealth kiasi gani, Registration ya club, mjengo , wachezaji... hakuna pesa inaweza Jenga yote hayo ndani ya 1year... Azam wenyewe itawachukua 20yrs kufikia nusu ya hadhi ya brand ya SSC .
51% zaupande wawanachama zinasajiliwa DSE nenda kanunue ili uingie kwenye bodi uhoji hayo.
 
Mkuu panga hoja vizuri maana unarukaruka tu.
Kwajinsi unavoongea najua tu mpira wa tz umeanza fwatilia juzi hapa ndo mana unaongelea uwanja ambao hauingizi hata 100 kwa club.
Uwanja wa mazoezi nao uanaleta kelele? Je azam wenye uwanja wao nao wasemeje? Ki uhalisia Simba au Yanga zinaendeshwa kisiasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…