Mambo ya Twitter yamekuwa mambo.
Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.
Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
Mkuu unachosema ni sahihi kazi ya huyo mama itakua kupika mahesabu.Ukiacha ushabiki, mo alitakiwa ajibu hoja!
Baada ya kujibu ndo tungejua km Dr anamchukia mo kwakumyima mkopo Dr kigwa.
Hapa naona Dr anahoja ya msingi km mo analichukulia poa ipo siku litamgalimu hili swala.
Mo janja janja nyingi sana,
Hata majibu yke wakati akihojiwa wa wasafi fm aliishia kusema yy siyo wakukoswa Billioni 20 hakika lilikuwa jibu la kufikilisha na kuongeza maswali.
Hili la CEO mpya nalo linafikilusha , huwezi muweka mtendaji mkuu wa club kubwa km simba kwa stail ile na mtu wakalibu hivyo hafu , hii wanataka kuanza kuongeza zero zero kwenye makaratasi ili kufunga hesabu za 20bil.
Hapa tutaanza kuona sababu za senzo kuondoka simba, yawezekana huo mchezo senzo aliukataa. Wakaona wambinue. Akaamua kujiachia mwenyewe kulinda cv.
Anashindwa kujua tajiri hanuniwiJuzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.
Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.
Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda
View attachment 1559971
========
View attachment 1559972
Achana nao watufanyia siasa tu hao. Bora uchaguzi upite.Mkuu unachosema ni sahihi kazi ya huyo mama itakua kupika mahesabu.
Tunapigwa Simba kama tulivyopigwa mashamba ya mkonge.
Umeandika mengi lakini mengi niujinga, hizi timu ambazo zunashindwa hata kulipa mishahara ndio useme MO aondoke, wewe ndio wake mnaotegemea kupata vijisent kupitia Simba na Yanga Hawa wawekezaji wamebana ulaji wenu kwahio mnataka waondoke mturudishe tulipokuwa. Nimekuambia leteni mwekezaji mwingine ili MO aondoke, kipindi MO hajaingia Simba mbona wachezaji walishindwa lipwa hata mishahara hao wadhamini hawakuwepo?.We aliyekuambia MO analipa mishahara ya wachezaji ni nani? Analipa kama nani? Pesa anaitoa wapi katika kampuni zake? Na anazitoa kwa transaction zipi ili kuweza kubalance financial statements za makampuni yake? Ushawahi kuona vitabu vya Mo enterprisses? Kama mo ndio analipa tena anatoa kutoka Account yake binafsi aweke ushahidi na ikiambatana na bank statements zake. Vinginevyo hizo pesa unazoziona ameziwekea utaratibu tu kwamba ni part ya expenses ya makampuni yake katika sehemu ya advertisement. Na kama ndio hivyo maana yake hatoi kama yy inatoa Kampuni kama malipo ya matangazo ya biashara za kampuni zake. Nashauri ni wakati mwafaka sasa tuache ushabiki wowote na yy aeleze hizo pesa anazitoa wapi na anatoa kama hisani au malipo ya matangazo ya biashara zake.
Lkn ikumbukwe kutoa pesa bila sababu sahihi kwa mgongo wa matangazo wakati kumbe anasaidia ni moja ya njia ya kukwepa kodi tena iliyo kinyume cha sheria. TAKWA LA MSINGI NI KWAMBA YEYE KAMA MO DEWJI MAMLAKA YA KUWA MMILIKI AMEYAPATAJE IKIWA HAJAINGIZA MTAJI WAKE? ULIONA WAPI MTU ANAWEKA HISA KWA MANENO NA AKAWA MAJORITY SHAREHOLDER? HATA HIVYO YY ANA HISA 49% HOW POSSIBLE YY AWE NDIO MAJORITY SHAREHOLDER? KWNN UPANDE ULE WENYE 51% WAO NDIO WASITAFUTE HUYO CEO KWA MAANA UPANDE HUO NDIO WENYE SAUTI?
NA NI KWANN MO AKIULIZWA KUHUSU BIL 20 AU UMILIKI ANAPANIKI HOVYO? HAMLIONI TATIZO LOLOTE?
USHAURI WANGU MO DEWJI ABAKI KAMA MDHAMINI KUPITIA MAKAMPUNI YAKE KWA MAANA AMESHINDWA KUWEKA MTAJI WAKE MWAKA WA 2 SASA ANAPATA FAIDA NA ILE KLABU LKN KILA SIKU ANALALAMIKA ANAPATA HASARA, UKIULIZIA VITABU MIZANIA VYA SIMBA ANAKUWA MKALI SASA SHIDA NINI. AACHE KLABU NA AJIUZULU NAFASI YAKE ABAKI KAMA ZAMANI KUWA MFADHILI.
ANOTINO ndio Mawazo yahawa jamaa,nauliza kabla MO hajawekeza Simba, Simba ilikua nahali ukilinganisha na Sasa?.Wabongo bwana hivi kwa mfano No akijiweka pembeni sasa hivi si mtaanza kutembeza mabakuli kama Yanga
Kwahiyo kwako ww unachojua ni matokeo ya leo tu? Ushawahi jiuliza pesa za matangazo ya AZAM, SPORTPESA, VODACOM nk zinatumikaje? Na vipi kuhusu, MO ENERGY, SABUNI, NK? MO aeleze hizo pesa kama anatoa mfukoni kwa mapenzi ya KLABU aoneshe BANK STATEMENTS ZAKE ZA AKAUNTI YAKE BINAFSI. Hapo chini nimesema TUMIA AKILI YAKO KWA USAHIHI ili uone mantiki ya HKUmeandika mengi lakini mengi niujinga, hizi timu ambazo zunashindwa hata kulipa mishahara ndio useme MO aondoke, wewe ndio wake mnaotegemea kupata vijisent kupitia Simba na Yanga Hawa wawekezaji wamebana ulaji wenu kwahio mnataka waondoke mturudishe tulipokuwa. Nimekuambia leteni mwekezaji mwingine ili MO aondoke, kipindi MO hahaingia Simba mbona wachezaji walishindwa lipwa hata mishahara hao wadhamini hawakuwepo?.
MO AMEWEKEZA WAPI MKUU? HIVI UNA AKILI WEWE? MO HAJAWEKA BIL 20 SASA AMEWEKEZA WAPI? KWANI WW UKISIKIA UWEKEZAJI UNADHANI KUAMKA TU ASUBUHI KUSEMA NIMEWEKEZA? ILI AWE MWEKEZAJI ANAPASWA KUWEKA HIZO PESA NDIO HAPO UNASEMA MWEKEZAJI ILA KAMA HAJAWEKA ANABAKIA MFADHILI.ANOTINO ndio Mawazo yahawa jamaa,nauliza kabla MO hajawekeza Simba, Simba ilikua nahali ukilinganisha na Sasa?.
Mkuu mbona hao Ngozi nyeusi hawaji kuwekeza, Yanga bado wako kwenye process yakufanya transformation, tungeomba ngozi nyeusi nao wajitokeza wawekeze washindane nakina GSM&ROSTAM. Maana mnapiga kelele kuhusu MO lkn mnashindwa kutafuta mbadala wake.Kuna watu humu washamba bado wa ngozi nyeupe..kutwa kumtetea
Yanga wanahao sport pesa,wana gsm(kama mdhamini akiwa),azam tv,Vodacom,Taifa gas nakila kitu anachopata Simba yanga anakipata Je kwa nn walikuwa wanatembeza bakuli?. Kwa nini wanashindwa kuendesha timu kwa faida wakalipa wachezaji mishahara?.Kwahiyo kwako ww unachojua ni matokeo ya leo tu? Ushawahi jiuliza pesa za matangazo ya AZAM, SPORTPESA, VODACOM nk zinatumikaje? Na vipi kuhusu, MO ENERGY, SABUNI, NK? MO aeleze hizo pesa kama anatoa mfukoni kwa mapenzi ya KLABU aoneshe BANK STATEMENTS ZAKE ZA AKAUNTI YAKE BINAFSI. Hapo chini nimesema TUMIA AKILI YAKO KWA USAHIHI ili uone mantiki ya HK
Mo anapaswa kujibu swali la msingi....... Je amelipia Hisa zake?Kigwa kala za uso. Uso umemshuka.