MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

Mbona kiba ni tajiri namba1 sema hapendi show off
 
Hata mimi nimefikiria sana jana, hivi kwa uwekezaji wa Bakhressa kwenye Fumba Estate, MO anamuweza kweli?
 
Mo Ana viwanda vingi na anatengenza bidhaa nyingi kuliko matajiri wote Tanzania
 
Aanzeshe nae team asidandie SIMBA
 
AANZISHE NAE TV unavyo vitaja vyote bhakharesa anavyo
 
Wewe wakati unaangalia azam energy ndio zimuweke gsm au bakhresa wawe no moja kumbe wenzio Forbes wanajua utajiri wa mo ni zaidi hizo juice na chapati mo amewekeza hadi uarabuni na bado hujaambiwa kuhusu hisa nse
AZAM FC tu ni pigo takatifu kwa MO

Kama anapesa aanzishe team nae tuone

Sio anaanzisha ujinga wa Mo boxing

Then anamlipa bhakharesa pesa ya coverage
 
AZAM FC tu ni pigo takatifu kwa MO

Kama anapesa aanzishe team nae tuone

Sio anaanzisha ujinga wa Mo boxing

Then anamlipa bhakharesa pesa ya coverage
Siyo lazima kila tajiri afanye anachofanya tajiri mwenzake. Unaweza uka base kwenye industries kadhaa ukatoboa. Mwenzako aka base kwenye nyinginezo naye akatoboa.

Kwa vile Mo hana Tv station basi hiyo ni udhaifu kwake..au kwa vile hana club ya mpira basi hana pesa. Thinking ya ajabu sana hii.

So ili Mo athibitishe kuwa na hela si lazima aanzishe timu na ifanikiwe. Kina GSM na MEtl wanazitumia simba na Yanga kama marketing platforms.

Mfano, uwekezaji wa Mo tu hapo Simba si umewaletea mafanikio, Club haijaenda mbali huko CAF? Kumbuka kuanzisha club ya mpira ni sawa na biashara nyinginezo tu.

Ninachokiona kwako ni kuwa umejiandaa vilivyo kumpinga Mo...So hata ukishawishiwa vipi hauwezi kukubali kuwa jamaa ana ukwasi wa kutosha kuliko hao anaolinganishwa nao.
 
Unaongea ujinga mkuu
 
Mo ana kampuni nyingi sana na biashara mbalimbali sema wabongo wengi hatufuatili tunachojua sisi ni Mo energy tu, huyu jamaa kuwa namba 1 Afrika Mashariki ni sawa

Mnaobisha nendeni mkaingie official website ya METL ndo mtajua hamjui
Si unamaanisha kama hivi hapa chini, ama?

Halafu pia tutaje kampuni tanzu za Mo, si ndiyo?!

Hofu yangu isije ikawa badala ya kutaja kampuni tukawa tunaishia kutaja bidhaa!!
 
Mo Ana viwanda vingi na anatengenza bidhaa nyingi kuliko matajiri wote Tanzania
Vya Bakhresa hivi hapa chini, naomba msaada kuhusu vya Mo...

Kama unamaanisha ndie mtengeneza sabuni nyingi zaidi Tanzania, basi sawa!!
 
Vya Bakhresa hivi hapa chini, naomba msaada kuhusu vya Mo...
View attachment 2422368

Kama unamaanisha ndie mtengeneza sabuni nyingi zaidi Tanzania, basi sawa!!
Nimeona kuna shida kwako unapaswa kwanza ujifunze na uzielewe concept kuhusu net worth, assets na liabilities ungekuwa na uelewa na hizo concept hata usingepata shida kuelewa
 
Nimeona kuna shida kwako unapaswa kwanza ujifunze na uzielewe concept kuhusu net worth, assets na liabilities ungekuwa na uelewa na hizo concept hata usingepata shida kuelewa
Acha porojo wewe na hivyo vi-concept vyako vya shule...

Hoja yako ni hii hapa chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mo ana kampuni nyingi sana na biashara mbalimbali sema wabongo wengi hatufuatili tunachojua sisi ni Mo energy tu, huyu jamaa kuwa namba 1 Afrika Mashariki ni sawa

Mnaobisha nendeni mkaingie official website ya METL ndo mtajua hamjui
Taja hizo "kampuni nyingi sana" na hizo "biashara mbalimbali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…