Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hizo concept ndo zinazotumika kujua utajiri wa mtu, kupitia hizo concepts ndio tunapata orodha ya watu matajiri zaidi duniani.Acha porojo wewe na hivyo vi-concept vyako vya shule...
Hoja yako ni hii hapa chini πππ
Taja hizo "kampuni nyingi sana" na hizo "biashara mbalimbali!!
Hoja yako ilihusisha hizo concept au ulitaja kampuni na biashara?!Hizo concept ndo zinazotumika kujua utajiri wa mtu, kupitia hizo concepts ndio tunapata orodha ya watu matajiri zaidi duniani.
Huwezi kumfananisha Mo na Bakhressa. Mo yuko kila mahala. Tofauti yao ni kuwa makampuni ya Bakhressa yanatumia majina yanayohusiana wakati ya Mo mengine majina hayafahamiki.Acha porojo wewe na hivyo vi-concept vyako vya shule...
Hoja yako ni hii hapa chini πππ
Taja hizo "kampuni nyingi sana" na hizo "biashara mbalimbali!!
Issue ilikuwa ni ndogo kuingia kwenye hiyo official website. Halafu hii orodha inatolewa na forbes mkuu. Nenda ukatembelee website yao forbes uwakosoe nenda na hiyo orodha ya biashara anazofanya mzee Said Salim Bakhresa uwakosoe kwa kulinganisha na za MoUlitaja concept au ulitaja kampuni na biashara?!
Anyway, kwavile ujuaji mwingi na umeshindwa kutaja hizo kampuni ingawaje ni wewe mwenyewe ndie ulileta habari za kampuni, tuwekee basi hiyo consolidated balance sheet tuone hayo unayosema!!
Yaani Mo yupo kila mahala kumzidi Bakhersa?! Huko ambako kila mahali Mo yupo na Bakhresa hayupo ni wapi?! Kwenye kutengeneza vitenge na sabuni?!Huwezi kumfananisha Mo na Bakhressa. Mo yuko kila mahala. Tofauti yao ni kuwa makampuni ya Bakhressa yanatumia majina yanayohusiana wakati ya Mo mengine majina hayafahamiki.
Kwani bwana Chige wewe shida yako ni nini yaani ni kwamba unaona Mo anapendelewa au?Yaani Mo yupo kila mahala kumzidi Bakhersa?! Huko ambako kila mahali Mo yupo na Bakhresa hayupo ni wapi?! Kwenye kutengeneza vitenge na sabuni?!
Asilimia kubwa ya biashara za Mo ni zile ambazo Bakhera alishakuwa nazo tangu zamani kabla yake kwa sababu, originally METL ilijikita kwenye agricultural commodity trading.
Baada ya Mkapa kuanza kuuza mashirika ya umma, Mo Family ndo ikaingia na upande mwingine wa biashara ambao Bakhera tayari alishakuwepo kitambo!!
In short umeshindwa ku-defend hoja yako!Issue ilikuwa ni ndogo kuingia kwenye hiyo official website. Halafu hii orodha inatolewa na forbes mkuu. Nenda ukatembelee website yao forbes uwakosoe nenda na hiyo orodha ya biashara anazofanya mzee Said Salim Bakhresa uwakosoe kwa kulinganisha na za Mo
Basi tengeneza orodha yako mkuu ya watu matajiri tuwe tunaifuta badala ya hii inayotumiwa duniani kote inayoandaliwa na watu wenye taaluma ya net worthIn short umeshindwa ku-defend hoja yako!
Hivi kwa ufahamu wako unaamini kabisa kwamba sifahamu nini kilichomo kwenye hiyo website?! Ni wewe unayedai Mo ana maviwanda mengi ndie unatakiwa kuingia huko na kuweka hapa!
Kwavile naamini Bakhresa yupo juu ya Mo, ndo maana nikaweka hizo kampuni za Bakheresa!!
π€£π€£π€£πKwavile naamini Bakhresa yupo juu ya Mo, ndo maana nikaweka hizo kampuni za Bakheresa!!
Unakata ukweli?!
Bado nalikumbuka povu la Kylie kule twitter!!Earlier this year, Kylie Jenner sold half of her cosmetics company in one of the greatest celebrity cash-outs of all time. But the dealβs fine print reveals that she has been inflating the size and success of her business. For years.
Nitengeneze tena?! Si umesema kwenye website yake kuna kumetajwa hizo kampuni zake nyingi?!Basi tengeneza orodha yako mkuu ya watu matajiri tuwe tunaifuta badala ya hii inayotumiwa duniani kote inayoandaliwa na watu wenye taaluma ya net worth
Nilimaanisha tengeneza list yako ya matajiriNitengeneze tena?! Si umesema kwenye website yake kuna kumetajwa hizo kampuni zake nyingi?!
Kwahiyo habari za kutaja kampuni zake nyingi na biashara zake mbalimbali ndo basi tena, ama?!Nilimaanisha tengeneza list yako ya matajiri
Basi tufanye Bakhresa ni tajiri zaidi ya MoUnakata ukweli?!
Ni Forbes ndio huwa wanatuambia kwamba Mo ndie Richest Person in Tanzania.
Kama umewahi kufuatilia orodha zinazotolewa na Forbes, huko nyuma imeshawahi kutokea watu kufoji financial statement ili mradi watokee tu kwenye list ya Forbes!
Tukio la miaka ya karibuni kabisa lilimshusisha Kylie Jenner ambae walimtangaza kwamba ni Billionaire lakini baadae wakagundua kwamba:-
View attachment 2422436
Forbes hatimae wakatujuza kwamba:-
Bado nalikumbuka povu la Kylie kule twitter!!
Sasa Mo na mwenyewe alivyo mtu wa kupenda hype...
Itoshe tu kusema Mo ndo Billionea pekee Tanzania anayependa kurudia kusema again and again kuhusu utajiri wake, na mara nyingi anapenda kutumia reference kutoka Forbes!!
Ingia MeTL mkuu sina muda huoKwahiyo habari za kutaja kampuni zake nyingi na biashara zake mbalimbali ndo basi tena, ama?!
Website aliyoorodhesha hadi mashamba ya mkonge, kampuni ya simu, na real estate?!Ingia MeTL mkuu sina muda huo
Bora umeamua kususa πππππBasi tufanye Bakhresa ni tajiri zaidi ya Mo
Nimesalimu amri kaka Said Salim Bakhresa ni tajiri zaidi ya Mohammed Dewji (Mo)Website aliyoorodhesha hadi mashamba ya mkonge, kampuni ya simu, na real estate?!
Sema pia anapenda media sana na kudeclare kila kitu wazi.Mo ni mandoga mwenye pesa maneno mengiii ila wenye hela hawaongei.
Again let's keep records straight....Nimesalimu amri kaka Said Salim Bakhresa ni tajiri zaidi ya Mohammed Dewji (Mo)