Chuma MG14
Member
- May 12, 2018
- 72
- 79
Biashara pekee aliyonayo Bakhressa, hana ni Marine transport pekee. Biashara za Mo ambazo wengine hawana mafuta (Star Oil Ltd), Bima (Mo Assurance), Fedha na Mitaji (Mo Capital Finance Ltd, Sifa Advisory Ltd), Simu (Zefona), electronics (Mo electronics), Boxer, Korosho etc. Huyu jamaa yuko kwenye maisha ya watu wa kipato cha kati na cha chini.Yaani Mo yupo kila mahala kumzidi Bakhersa?! Huko ambako kila mahali Mo yupo na Bakhresa hayupo ni wapi?! Kwenye kutengeneza vitenge na sabuni?!
Asilimia kubwa ya biashara za Mo ni zile ambazo Bakhera alishakuwa nazo tangu zamani kabla yake kwa sababu, originally METL ilijikita kwenye agricultural commodity trading.
Baada ya Mkapa kuanza kuuza mashirika ya umma, Mo Family ndo ikaingia na upande mwingine wa biashara ambao Bakhera tayari alishakuwepo kitambo!!
Hana pesa anayodanganya watu kuwa anayoTajiri namba 1 Afrika Mashariki na kati na tajiri kijana Afrika na tajiri wa 15 Afrika unasema hana hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akitaja niite mbwaSi unamaanisha kama hivi hapa chini, ama?
View attachment 2422364
Halafu pia tutaje kampuni tanzu za Mo, si ndiyo?!
Hofu yangu isije ikawa badala ya kutaja kampuni tukawa tunaishia kutaja bidhaa!!
Acha kuhamisha magori kwaiyo bhakaresa hana assets au ? Chamanzi complex ni utajiri wote wa dalali MoNimeona kuna shida kwako unapaswa kwanza ujifunze na uzielewe concept kuhusu net worth, assets na liabilities ungekuwa na uelewa na hizo concept hata usingepata shida kuelewa
Huna hoja mkuu Mo hana pesa iyo ata wewe najua unajuaHizo concept ndo zinazotumika kujua utajiri wa mtu, kupitia hizo concepts ndio tunapata orodha ya watu matajiri zaidi duniani.
Akileta niite Ashura cheupeHoja yako ilihusisha hizo concept au ulitaja kampuni na biashara?!
Anyway, kwavile umeshindwa kutaja hizo kampuni ingawaje ni wewe mwenyewe ndie ulileta habari za kampuni, tuwekee basi hiyo consolidated balance sheet tuone hayo unayosema!!
Yupo wapi uyo Mo na kwanini atumie majina tofauti?Huwezi kumfananisha Mo na Bakhressa. Mo yuko kila mahala. Tofauti yao ni kuwa makampuni ya Bakhressa yanatumia majina yanayohusiana wakati ya Mo mengine majina hayafahamiki.
Forbes walishakosolewa Na mengi walikosea Mwaka wake wa kuzaliwa tu itakuwa utajiri wakeIssue ilikuwa ni ndogo kuingia kwenye hiyo official website. Halafu hii orodha inatolewa na forbes mkuu. Nenda ukatembelee website yao forbes uwakosoe nenda na hiyo orodha ya biashara anazofanya mzee Said Salim Bakhresa uwakosoe kwa kulinganisha na za Mo
Taaluma ya wapi si nao wawe matajiri sasaBasi tengeneza orodha yako mkuu ya watu matajiri tuwe tunaifuta badala ya hii inayotumiwa duniani kote inayoandaliwa na watu wenye taaluma ya net worth
Sio tufanye ndiyo realityBasi tufanye Bakhresa ni tajiri zaidi ya Mo
Acha kupamba mavi maua labdq anauza ngada kupitia kocha wa makeeperKwa kukusaidia tu MO dewji anamiliki uchumi wa taifa zima la TANZANIA kwa 4% na asilimia 96 tunagawana watu wote 62M. more anafanyabuashara katika mataifa 36 africa nzima. Azam n mataifa 12 tu.
MO anabiashara nying sana hazihesabiki
Asante sana kwa ushauri huu. Wakati tunawajadili wao wapo wanajadili mbinu za kuingiza pesa zaidi. Na ndio pale wao wanapata pesa sisi tunabaki kupata stori tu.Hili la kuwajadili matajiri ikiwa sisi hatuna kitu, nalo mkalitizame
Akili huna mzeeBiashara pekee aliyonayo Bakhressa, hana ni Marine transport pekee. Biashara za Mo ambazo wengine hawana mafuta (Star Oil Ltd), Bima (Mo Assurance), Fedha na Mitaji (Mo Capital Finance Ltd, Sifa Advisory Ltd), Simu (Zefona), electronics (Mo electronics), Boxer, Korosho etc. Huyu jamaa yuko kwenye maisha ya watu wa kipato cha kati na cha chini.
Ukiwa juu juu huwezi kumuona
Kwani Rostam ana kampuni ngapi unazozijuwa wewe ukiacha Taifa gas!? Ukiacha kumikili viwanda Hawa watu ni shareholder wa Makampuni makubwa Duniani. Mfano Rostam ana asilimia 17 kampuni ya Vodacom SAKampuni zakw kama ya mafuta ya kura sijui kushona nguo ja vitenge waweza pnga na kampuni za bakhressa kweli ama usanii
Nishaelewa shida inaanzia wapiAcha kupamba mavi maua labdq anauza ngada kupitia kocha wa makeeper
Hii mada imekuzidi uwezo kwa mbali sanaAkili huna mzee
Team ya mpira anayo uyo Mo?
Media anayo?
Kampuni la kuteneza Masofa ya magari analo
Azam pesa?
Acha ujinga
Huna hoja mwenye uwezo hajisemiHii mada imekuzidi uwezo kwa mbali sana
Tigo/zantelKwani Rostam ana kampuni ngapi unazozijuwa wewe ukiacha Taifa gas!? Ukiacha kumikili viwanda Hawa watu ni shareholder wa Makampuni makubwa Duniani. Mfano Rostam ana asilimia 17 kampuni ya Vodacom SA