Joseph_Mungure
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 110
- 167
Soma hiyo article hapo, aka2030"Tanzanian entrepreneur Dewji plans $2-4 billion grains production investment via SPAC | Reuters" Tanzanian entrepreneur Dewji plans $2-4 billion grains production investment via SPAC
Soma hiyo
Achana na mipango kwani hujui Mo ndio exporter mkubwa na nafaka kutoka Tanzania!!? Anafanya vizuri huko New York Stock MarketAchana na plans njoo kwenye field aisee wew wa wapi hata wew unamalengo utakufa hayajatimia
Leta na wewe data coz tangu Uzi uanzee hujaleta data zikiletwa data unasema za kupika..Leta data za new york stoc market sio bla bla
GSM kawa maarufu kwa kuidhamin yanga ila kuna binadamu tanzania wana pesa ila hawana keleleHuyu GSM pamoja na mbwembwe nyingi hamfikii hata kidogo dogo wa Lake Group
HahahahaaàBasi tufanye GSM amewazidi wote.
Mkuu anayesema Mo Dewji ni tajiri namba moja Tanzania sio mimi na wewe, bali ni Jarida la Forbes. Nakushauri uingie kwenye page yao mtandaoni uangalie vigezo vinavyotumika. Mfano, R.D. TATA ambaye Wahindi wengi wanaamini ndiye tajiri mkubwa India hayumo hata kwenye matajiri mia wa India kwa mujibu wa Jarida la Forbes. Kwanini? Kwasababu ya vigezo vinavyotumika. Google ujielimishe!Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa.
Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndiyo tajiri wa Tanzania? Ama anafanya ubabaifu aonekane hivo?
Sheli ni nini? Nyie ndio mlibakwa utotoni.View attachment 2401138
Ukweli mtupu 😎😎😎GSM kawa maarufu kwa kuidhamin yanga ila kuna binadamu tanzania wana pesa ila hawana kelele
Acha basi 😁😁😁Kwa kukusaidia tu MO dewji anamiliki uchumi wa taifa zima la TANZANIA kwa 4% na asilimia 96 tunagawana watu wote 62M. more anafanyabuashara katika mataifa 36 africa nzima. Azam n mataifa 12 tu.
MO anabiashara nying sana hazihesabiki
Haya tuambie hiyo zefona ina operate wapi? Na azampesa ina operate wapiBiashara pekee aliyonayo Bakhressa, hana ni Marine transport pekee. Biashara za Mo ambazo wengine hawana mafuta (Star Oil Ltd), Bima (Mo Assurance), Fedha na Mitaji (Mo Capital Finance Ltd, Sifa Advisory Ltd), Simu (Zefona), electronics (Mo electronics), Boxer, Korosho etc. Huyu jamaa yuko kwenye maisha ya watu wa kipato cha kati na cha chini.
Ukiwa juu juu huwezi kumuona
Tupe data ..... Nikuulize je mo ameajiri watu wangapi ??? Ana mchango kiasi Gani kwenye GDP ya bongo ... Tusipende kuharibu watu tunafaa kujifunza kutoka kwao maana ukizungumzia Metl ni kampuni iliyoajiri watu zaidi ya 25000 sasa unataka kusema Nini hapoNaamini Rostam Azizi ndiye Tycoon namba moja hapa nchini, hawa wengine ni Chawa tu.
Fuatilieni vizuri ukweli mtaujua.
Huyu Mwamba ni level ingine.
Hope one day nitazidi hapo alipofikia.
Swali zuri ila hii ni kwa bongo tuMatajiri wengi niwaisilamu aiseee,!
We usiandike hivi.Matajiri wengi niwaisilamu aiseee,!
Sasa anaviwanda vya dawa za mbu dawa za meno sabuni maji laziwa awe ameajiri watu wengi ila je return yake ipoje?Tupe data ..... Nikuulize je mo ameajiri watu wangapi ??? Ana mchango kiasi Gani kwenye GDP ya bongo ... Tusipende kuharibu watu tunafaa kujifunza kutoka kwao maana ukizungumzia Metl ni kampuni iliyoajiri watu zaidi ya 25000 sasa unataka kusema Nini hapo