MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndo tajiri namba moja
Ukija kwa bakhressa
Ana meli, ngano soda kiwanda cha sukari chenyd thamani ya 600 bilions
Azam tv azam pesa
Rostam aziz anayemiliki kampuni ya ndege,caspian tigo Tanzania Taifa gas inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndo tajiri wa tz ama anafanya ubabaifu aonekane hivo
Tajiri sio nchi nzima ni anautajiri kwa vijana wote hapa tz hakuna kijana anayemfukuzia kwa hela.

Forbes wanachekecha halafu wanasema kimadaraja sasa modewji ni tajiri kijana tz na ni 5 kijana tajiri afrika hawajasema kuwa ni tajiri tz kwa wote
 
List ya matajiri tz
Screenshot_20221017-022856.png
 
Tajiri sio nchi nzima ni anautajiri kwa vijana wote hapa tz hakuna kijana anayemfukuzia kwa hela .
Forbes wanachekecha halafu wanasema kimadaraja sasa modewji ni tajiri kijana tz na ni 5 kijana tajiri afrika hawajasema kuwa ni tajiri tz kwa wote
Get your facts straight..MO ni the wealthiest person hapa Tz na East Africa. Hakuna hizo categorization kwa hapa Tz kuwa ni tajiri wa kwa vijana tu.

Kaangilie portfolio ya makampuni yaliyo chini ya METL..more than 40 companies and counting. Mo ni majority shareholder wa METL.
 
hapo roho yake kwatu.....haya yote kayasababisha al hilal kwa kuizuia yanga isifuzu hatua ya makundi.
giphy.gif
Kweli wewe mtukwa🤣 akili za chapu big up ni kweli kabisa tulikuwa tunachangia upupu hii coment ni nzuri sana inaleta maana yanga waitwe tu kituo cha polisi wachapwe vizuri akili ipande kichwani
 
Get your facts straight..MO ni the wealthiest person hapa Tz na East Africa. Hakuna hizo categorization kwa hapa Tz kuwa ni tajiri wa kwa vijana tu...Kaangilie portfolio ya makampuni yaliyo chini ya METL..more than 40 companies and counting. Mo ni majority shareholder METL.
Soma tena comment yangu ya pili
 
Get your facts straight..MO ni the wealthiest person hapa Tz na East Africa. Hakuna hizo categorization kwa hapa Tz kuwa ni tajiri wa kwa vijana tu...Kaangilie portfolio ya makampuni yaliyo chini ya METL..more than 40 companies and counting. Mo ni majority shareholder wa METL.
Kampuni zakw kama ya mafuta ya kura sijui kushona nguo ja vitenge waweza pnga na kampuni za bakhressa kweli ama usanii
 
Back
Top Bottom