Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndo tajiri namba moja.
Ukija kwa Bakhressa
Ana meli, ngano soda kiwanda cha sukari chenyd thamani ya 600 bilions
Azam tv, Azam pesa.
Rostam aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian tigo Tanzania Taifa gas inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndo tajiri wa tz ama anafanya ubabaifu aonekane hivo.
Sasa yeye si wakala tu labda uwe umezijua Boxer juzi..Zamani boxer zilikuwa zinaingizwa nchini na Kishan Enterprises sijui iliishia wapi hiyo kampuni ndio tenda akachukua Mo.
Wewe humjui mo dewji kumbe jamaa amewekeza kwenye mashamba ya mkonge kwenye vyakula kwenye mafuta kwenye kuuza vyombo vya usafiri bidhaa zake nyingi anauza nje ya nchi au ulijua hela anapata simba tu mzee
Hilo mbona lishajadiliwa sana humu na watu wakaliweka sawa.
Hii post ni ya kwenye moja ya hizo thread iliwekwa na mtaalamu Chief-Mkwawa
Hizi ni data chache ambazo zinaweza kukufumbua macho
1. asilimia 5 ya wafanyakazi wote waliopo kwenye formal sector Tanzania ni waajiriwa wa metl, kwa lugha nyengine katika kila watu 20 walioajiriwa kwenye formal sector mmoja ni metl
2. mo ameajiri watu 24,000
3. metl ipo nchi 12 Africa na ipo pia nje ya Africa nchi chache
4. asilimia 3.5 ya pato la taifa linatokana na mo
so hizi ni baadhi ya comparison za mo na bakhresa
-mo wafanyakazi around 24,000 bakhresa around 8,000
-metl nchi 12 na azam nchi 8
-metl pato 1.5 billion na azam pato 800 million
hizo data zote nimetoa about pages ya website zao.
Azam Worldwide - Azam Bakhresa Group
About Us | MeTL
kifupi mkuu mo ana hela kuliko bakhresa na wala hawalingani, maana amemzidi zaidi ya mara mbili.
watu wanashindwa kuamini sababu Bakhresa vitu vyake vyote vipo kwenye brand moja ya azam, ila mo ana viwanda na brand na biashara nyingi sana.
Mo kama mzalishaji
mafuta ya nyumbani
-mafuta maisha
-mafuta safi
-blueband mo margarine
-mafuta mpishi
-mafuta sunflower
vinywaji
-maji ya maisha
-maji masafi
-juice za pride
-soda za mo
nguo
-hakuna kampuni kubwa ya nguo kusini mwa jangwa la sahara kushinda metl. wana viwanda karibia kila mkoa wakitengeneza bidhaa za kanga na vitenge.
Vyakula
-unga wa ngano
-sukari
-korosho (mo cashew)
baiskeli
hapa kuna baisikeli za kawaida na za miguu mitatu za NABICO
mafuta ya magari
kampuni ya mo ya star oil ni moja ya wasambazaji wakubwa wa mafuta. uwezo wa lita milioni 5 kwa siku.
sabuni
-sabuni za royal
-sabuni za taifa
-sabuni za poa
mo kama mfanya biashara anaeagiza vitu nje
-agent wa LG tanzania analeta vitu kama mashine za kufulia, oven, mafridge na bidhaa nyengine za lg
-Agent wa TCL tanzania na TV zake
-analeta mitumba ya nguo
-AC za airlux
-battery za remote
-tractor za kulimia
-na mengine mengi kama big G, biscuit, tambi etc
mo kama muuzaji vitu nje ya nchi
jamaa anauza vitu vingi sana nje ya nchi kama
-katani
-korosho
-mbao
-nta
-choroko
-bidhaa nyengine tulizozitaja juu.
Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndo tajiri namba moja.
Ukija kwa Bakhressa
Ana meli, ngano soda kiwanda cha sukari chenyd thamani ya 600 bilions
Azam tv, Azam pesa.
Rostam aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian tigo Tanzania Taifa gas inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndo tajiri wa tz ama anafanya ubabaifu aonekane hivo.
Mo ana kampuni nyingi sana na biashara mbalimbali sema wabongo wengi hatufuatili tunachojua sisi ni Mo energy tu, huyu jamaa kuwa namba 1 Afrika Mashariki ni sawa
Mnaobisha nendeni mkaingie official website ya METL ndo mtajua hamjui
Mo mjanja mjanja tu na sitoshangaa ikija kugundulika amepika takwimu. Tajiri gani viwanda vyake vichafu na vimechoka, magari mengi mabovu na wafanyakazi wake wengi wana hali duni kimaisha.
Mfanyakazi wa Bakhresa na Rostam huwezi kumfananisha na wa Mo kwa kuangalia hali zao za maisha.
Usichokijua Kampuni ya Mo ina makampuni mengine huko West Afrika. Forbes hawawezi kumsingizia wakameacha huyo umtakae wewe, hawana sababu yoyote ya kufanya hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.