MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

Mo ana kampuni nyingi sana na biashara mbalimbali sema wabongo wengi hatufuatili tunachojua sisi ni Mo energy tu, huyu jamaa kuwa namba 1 Afrika Mashariki ni sawa

Mnaobisha nendeni mkaingie official website ya METL ndo mtajua hamjui
Kujaza orodha za usajili wa kampuni kwenye wesbite ndo utajiri?
 
Mo ana kampuni nyingi sana na biashara mbalimbali sema wabongo wengi hatufuatili tunachojua sisi ni Mo energy tu, huyu jamaa kuwa namba 1 Afrika Mashariki ni sawa

Mnaobisha nendeni mkaingie official website ya METL ndo mtajua hamjui
Screenshot_20221018-075821_Edge.jpg
 
Kwakuwa hawa hawako registered katika stock market itabaki kuwa usiri tu hizi kampuni zote zikija public ndio tunaweza kujuwa ukweli, makampuni makubwa duniani yako katika masoko ya pesa kwa hiyo assets zao na revenues zinajulikana sisi hapa bado huko ni makampuni ya kifamilia tu.
 
Ana ela kweli ila kaachwa mbali sana na mo, rostam ana $900bl mo ana $1.5tr kama nmekosea mtanisahihisha....

Inawezekana ana ela kumzidi mo lkn anaficha baadhi ya mali na ac zake zisijulikane
JEFF BEZOS ana utajiri wa $139 billion
 
Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndo tajiri namba moja.

Ukija kwa Bakhressa
Ana meli, ngano soda kiwanda cha sukari chenyd thamani ya 600 bilions
Azam tv, Azam pesa.

Rostam aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian tigo Tanzania Taifa gas inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndo tajiri wa tz ama anafanya ubabaifu aonekane hivo.
Hata mimi naanzisha maandamano, sikubali kabisa!
 
Tajiri sio nchi nzima ni anautajiri kwa vijana wote hapa tz hakuna kijana anayemfukuzia kwa hela .
Forbes wanachekecha halafu wanasema kimadaraja sasa modewji ni tajiri kijana tz na ni 5 kijana tajiri afrika hawajasema kuwa ni tajiri tz kwa wote
Hujui unachokisema madam
 
Basi tufanye GSM amewazidi wote.
Punguza makasiriko kaka... 🤣🤣🤣🤣 Mpe fact ... Nini kinafanya iwe hivyo ... Ni uwazi wa hesabu, taarifa za ukaguzi , madeni , Dhima ,Mtaji na Umiliki (hisa) ... Mbona kitu kidogo tu ... Unawalaumu watu kule Kwa Urusi kuwa na Ushabiki na wewe unauleta huku... Mimi Yanga ...na mchumi pia Afisa Ushirika na ni Afisa Mufilisi.... Ukiua maana ya hivyo vitu 6 utaona Hawa wengine ni janja janja tu. Asante
 
Hivi mnafahamu Industry ya Mo Ina "firms" ngapi... !!? Acheni Ushabiki katika vitu vya msingi... Wekeni hapa Industry ya Mo Vs Ya Rostam, weka Firms za Mo Vs Za Rostam na hao wengine..... Natamani elimu ya Biashara na Uchumi irudishwe mashuleni YULE MZEE MUNGAI ametuharibia sana elimu vitu vidogo hivi vinasumbua watu ...ndio maana tunapata watu wa hovyohovyo....
 
Back
Top Bottom