Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 144
- 211
Waliotoa hizo takwimu hawajakurupuka hata kidogo,kwahivo we tulizana tu na utafute pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha masihara wewe dola trilion moja na nusu unaijua vizuri?Ana ela kweli ila kaachwa mbali sana na mo, rostam ana $900bl mo ana $1.5tr kama nmekosea mtanisahihisha....
Inawezekana ana ela kumzidi mo lkn anaficha baadhi ya mali na ac zake zisijulikane
[emoji41][emoji41]Hapa kuna watu wataleta mambo ya usimba na uyanga
Tell demHivi mnafahamu Industry ya Mo Ina "firms" ngapi... !!? Acheni Ushabiki katika vitu vya msingi... Wekeni hapa Industry ya Mo Vs Ya Rostam, weka Firms za Mo Vs Za Rostam na hao wengine..... Natamani elimu ya Biashara na Uchumi irudishwe mashuleni YULE MZEE MUNGAI ametuharibia sana elimu vitu vidogo hivi vinasumbua watu ...ndio maana tunapata watu wa hovyohovyo....
Ila iansemekana pmj na kuwalipa kiwango hicho ninkwa sababu ameajiri wafanyakazi wengi kuliko mtu yoyote hapa Tanzanianilipata kuingia kiwanda chake East Coast Oil/Fats Kurasini, hali ni tete, kuchafu mno, kupo sagalabagala, vehicles zimechoka kinoma
injinia makeniko anakunja 300k basic/month, technician makeniko anakunja 180k basic / month
Yeah rightIla iansemekana pmj na kuwalipa kiwango hicho ninkwa sababu ameajiri wafanyakazi wengi kuliko mtu yoyote hapa Tanzania
Ndio maana nkasema kama nimekosea mtanisahihishaAlama ya $ unajua maana yake lkn? Maana tajiri wa Microsoft enyewe Hana hata 250bilion dollars
[emoji419]Hilo mbona lishajadiliwa sana humu na watu wakaliweka sawa.
Hii post ni ya kwenye moja ya hizo thread iliwekwa na mtaalamu Chief-Mkwawa
Hizi ni data chache ambazo zinaweza kukufumbua macho
1. asilimia 5 ya wafanyakazi wote waliopo kwenye formal sector Tanzania ni waajiriwa wa metl, kwa lugha nyengine katika kila watu 20 walioajiriwa kwenye formal sector mmoja ni metl
2. mo ameajiri watu 24,000
3. metl ipo nchi 12 Africa na ipo pia nje ya Africa nchi chache
4. asilimia 3.5 ya pato la taifa linatokana na mo
so hizi ni baadhi ya comparison za mo na bakhresa
-mo wafanyakazi around 24,000 bakhresa around 8,000
-metl nchi 12 na azam nchi 8
-metl pato 1.5 billion na azam pato 800 million
hizo data zote nimetoa about pages ya website zao.
Azam Worldwide - Azam Bakhresa Group
About Us | MeTL
kifupi mkuu mo ana hela kuliko bakhresa na wala hawalingani, maana amemzidi zaidi ya mara mbili.
watu wanashindwa kuamini sababu Bakhresa vitu vyake vyote vipo kwenye brand moja ya azam, ila mo ana viwanda na brand na biashara nyingi sana.
Mo kama mzalishaji
mafuta ya nyumbani
-mafuta maisha
-mafuta safi
-blueband mo margarine
-mafuta mpishi
-mafuta sunflower
vinywaji
-maji ya maisha
-maji masafi
-juice za pride
-soda za mo
nguo
-hakuna kampuni kubwa ya nguo kusini mwa jangwa la sahara kushinda metl. wana viwanda karibia kila mkoa wakitengeneza bidhaa za kanga na vitenge.
Vyakula
-unga wa ngano
-sukari
-korosho (mo cashew)
baiskeli
hapa kuna baisikeli za kawaida na za miguu mitatu za NABICO
mafuta ya magari
kampuni ya mo ya star oil ni moja ya wasambazaji wakubwa wa mafuta. uwezo wa lita milioni 5 kwa siku.
sabuni
-sabuni za royal
-sabuni za taifa
-sabuni za poa
mo kama mfanya biashara anaeagiza vitu nje
-agent wa LG tanzania analeta vitu kama mashine za kufulia, oven, mafridge na bidhaa nyengine za lg
-Agent wa TCL tanzania na TV zake
-analeta mitumba ya nguo
-AC za airlux
-battery za remote
-tractor za kulimia
-na mengine mengi kama big G, biscuit, tambi etc
mo kama muuzaji vitu nje ya nchi
jamaa anauza vitu vingi sana nje ya nchi kama
-katani
-korosho
-mbao
-nta
-choroko
-bidhaa nyengine tulizozitaja juu.
angalia hio diversity then compare na bakhresa.
Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?
Hawa matajiri nani kamzidi mwenzake? Kuna ubishi unaendelea mahali,lakini naona kama Bakhresa kamzidi Mo kila kitu.www.jamiiforums.com
Usiwe mbishi! Unajua maana ya agent?? Hivi unadhan unaweza agiza V8 zero kilometer toka Japan pasipo kupitia Karimujee Jevanjee(Toyota Tanzania)?? Ili na wao waweke cha juu?? JifunzeHakuna kitu kama hicho kwenye Biashara.
Sasa hivi yuko na tiGO! Na wana kampuni yao sijui inaitwaje vileList ya matajiri tz
Inawezekana acha ushamba wako wa wilayani huko watu wanaagiza mpaka special orderUsiwe mbishi! Unajua maana ya agent?? Hivi unadhan unaweza agiza V8 zero kilometer toka Japan pasipo kupitia Karimujee Jevanjee(Toyota Tanzania)?? Ili na wao waweke cha juu?? Jifunze
Naomba nikuite kenge! Unabisha wakati hili suala hadi bungeni lilifika! Huyu Toyota Tanzania kazi yake ni nini sasa kufanya services auInawezekana acha ushamba wako wa wilayani huko watu wanaagiza mpaka special order
Sawa rafiki wa iker huna uelewa kabsaa watu wa malafudhi mnashida sana bungeni wanataka serikali inunue moja kwa moja bila kupitia kwa mzabuniNaomba nikuite kenge! Unabisha wakati hili suala hadi bungeni lilifika! Huyu Toyota Tanzania kazi yake ni nini sasa kufanya services au
Special order demand yake ni ndogo sana, hivi unadhani serikali wanashindwa vipj agiza mzigo direct from Toyota Japan,lakini lazima inawabidi wapitie Toyota Tanzania?? Kenge wewe
Uwekezaji wa kiwanda cha sukari cha bagamoyo sugar utapanga ni viwanda vya sabuni sijui mafuta sijui ukusanyaji wa choroko na katani hebu muwe serious