Wewe humjui mo dewji kumbe jamaa amewekeza kwenye mashamba ya mkonge kwenye vyakula kwenye mafuta kwenye kuuza vyombo vya usafiri bidhaa zake nyingi anauza nje ya nchi au ulijua hela anapata simba tu mzee
Usitishike na neno kiwanda cha kutengenza sijui juice ,energy au sabuni ukaona ni maajabu ,kiwanda vya hivyo ni simple sana,yule anachofanya ni production tu ya large scale at once ila hawa wa mtaani small scale lakini process ni ile ile.
Hilo mbona lishajadiliwa sana humu na watu wakaliweka sawa.
Hii post ni ya kwenye moja ya hizo thread iliwekwa na mtaalamu Chief-Mkwawa
Hizi ni data chache ambazo zinaweza kukufumbua macho
1. asilimia 5 ya wafanyakazi wote waliopo kwenye formal sector Tanzania ni waajiriwa wa metl, kwa lugha nyengine katika kila watu 20 walioajiriwa kwenye formal sector mmoja ni metl
2. mo ameajiri watu 24,000
3. metl ipo nchi 12 Africa na ipo pia nje ya Africa nchi chache
4. asilimia 3.5 ya pato la taifa linatokana na mo
so hizi ni baadhi ya comparison za mo na bakhresa
-mo wafanyakazi around 24,000 bakhresa around 8,000
-metl nchi 12 na azam nchi 8
-metl pato 1.5 billion na azam pato 800 million
hizo data zote nimetoa about pages ya website zao.
Azam Worldwide - Azam Bakhresa Group
About Us | MeTL
kifupi mkuu mo ana hela kuliko bakhresa na wala hawalingani, maana amemzidi zaidi ya mara mbili.
watu wanashindwa kuamini sababu Bakhresa vitu vyake vyote vipo kwenye brand moja ya azam, ila mo ana viwanda na brand na biashara nyingi sana.
Mo kama mzalishaji
mafuta ya nyumbani
-mafuta maisha
-mafuta safi
-blueband mo margarine
-mafuta mpishi
-mafuta sunflower
vinywaji
-maji ya maisha
-maji masafi
-juice za pride
-soda za mo
nguo
-hakuna kampuni kubwa ya nguo kusini mwa jangwa la sahara kushinda metl. wana viwanda karibia kila mkoa wakitengeneza bidhaa za kanga na vitenge.
Vyakula
-unga wa ngano
-sukari
-korosho (mo cashew)
baiskeli
hapa kuna baisikeli za kawaida na za miguu mitatu za NABICO
mafuta ya magari
kampuni ya mo ya star oil ni moja ya wasambazaji wakubwa wa mafuta. uwezo wa lita milioni 5 kwa siku.
sabuni
-sabuni za royal
-sabuni za taifa
-sabuni za poa
mo kama mfanya biashara anaeagiza vitu nje
-agent wa LG tanzania analeta vitu kama mashine za kufulia, oven, mafridge na bidhaa nyengine za lg
-Agent wa TCL tanzania na TV zake
-analeta mitumba ya nguo
-AC za airlux
-battery za remote
-tractor za kulimia
-na mengine mengi kama big G, biscuit, tambi etc
mo kama muuzaji vitu nje ya nchi
jamaa anauza vitu vingi sana nje ya nchi kama
-katani
-korosho
-mbao
-nta
-choroko
-bidhaa nyengine tulizozitaja juu.
Achana na uwakala huyu anamiliki kiwanda kuwa serious basi
Zanzibar nzima azam anamiliki sheli za mafuta
Huwezi panga na mo anaeniliki viwanda vya viberiti sijui sabuni za lodge kwenye website yake amesema anakampuni inaitwa zephona ndo superdealer wa vodacom hiyo kampuni imeshakufa toka 2008 hata wew huijui
Usitishike na neno kiwanda cha kutengenza sijui juice ,energy au sabuni ukaona ni maajabu ,kiwanda vya hivyo ni simple sana,yule anachofanya ni production tu ya large scale at once ila hawa wa mtaani small scale lakini process ni ile ile.
Hilo mbona lishajadiliwa sana humu na watu wakaliweka sawa.
Hii post ni ya kwenye moja ya hizo thread iliwekwa na mtaalamu Chief-Mkwawa
Hizi ni data chache ambazo zinaweza kukufumbua macho
1. asilimia 5 ya wafanyakazi wote waliopo kwenye formal sector Tanzania ni waajiriwa wa metl, kwa lugha nyengine katika kila watu 20 walioajiriwa kwenye formal sector mmoja ni metl
2. mo ameajiri watu 24,000
3. metl ipo nchi 12 Africa na ipo pia nje ya Africa nchi chache
4. asilimia 3.5 ya pato la taifa linatokana na mo
so hizi ni baadhi ya comparison za mo na bakhresa
-mo wafanyakazi around 24,000 bakhresa around 8,000
-metl nchi 12 na azam nchi 8
-metl pato 1.5 billion na azam pato 800 million
hizo data zote nimetoa about pages ya website zao.
Azam Worldwide - Azam Bakhresa Group
About Us | MeTL
kifupi mkuu mo ana hela kuliko bakhresa na wala hawalingani, maana amemzidi zaidi ya mara mbili.
watu wanashindwa kuamini sababu Bakhresa vitu vyake vyote vipo kwenye brand moja ya azam, ila mo ana viwanda na brand na biashara nyingi sana.
Mo kama mzalishaji
mafuta ya nyumbani
-mafuta maisha
-mafuta safi
-blueband mo margarine
-mafuta mpishi
-mafuta sunflower
vinywaji
-maji ya maisha
-maji masafi
-juice za pride
-soda za mo
nguo
-hakuna kampuni kubwa ya nguo kusini mwa jangwa la sahara kushinda metl. wana viwanda karibia kila mkoa wakitengeneza bidhaa za kanga na vitenge.
Vyakula
-unga wa ngano
-sukari
-korosho (mo cashew)
baiskeli
hapa kuna baisikeli za kawaida na za miguu mitatu za NABICO
mafuta ya magari
kampuni ya mo ya star oil ni moja ya wasambazaji wakubwa wa mafuta. uwezo wa lita milioni 5 kwa siku.
sabuni
-sabuni za royal
-sabuni za taifa
-sabuni za poa
mo kama mfanya biashara anaeagiza vitu nje
-agent wa LG tanzania analeta vitu kama mashine za kufulia, oven, mafridge na bidhaa nyengine za lg
-Agent wa TCL tanzania na TV zake
-analeta mitumba ya nguo
-AC za airlux
-battery za remote
-tractor za kulimia
-na mengine mengi kama big G, biscuit, tambi etc
mo kama muuzaji vitu nje ya nchi
jamaa anauza vitu vingi sana nje ya nchi kama
-katani
-korosho
-mbao
-nta
-choroko
-bidhaa nyengine tulizozitaja juu.
Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa
ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa.
Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndiyo tajiri wa Tanzania? Ama anafanya ubabaifu aonekane hivo?
Wewe ndio hujui ,mimi nimefanya kazi kwenye sector zote unazozijua wewe kabla ya kuanza ujasiliamali wa kuchoma mkaa ,kazi za ujenzi ,viwanda ,bank ,udalali,IT,Kuchoma CD ,Music Production etc ,hapo kwa Mo nimefanya kazi sana kwenye kiwanda chake cha maji Masafi ,Nilikuwa kitengo cha kutengeneza chupa tunachukua preform tunaziweka kwenye heater vikiwa vya moto tunepeleka kwenye mould na tunablow chupa inatokea ,sometimes kwenye mkanda na kuzipanga chupa kwenye vibox kisha zinapita kwenye nylon kufungwa.
Hakuna jipya kwenye viwanda usitishike na neno kiwanda ,MO na yule wa mtengeneza sabuni wa twitter wamezidiana scale tu ya production ,ingia Alibaba utoe tongotongo ,wamama mtaani kibao wanatengeneza juice ,wanatengeneza sabuni ,wanatengeneza tomato & chill sauces ,nenda mkoani uone wanavyotenegeza mafuta ya alizeti mtaani...Jamaa yangu tulikuwa tunafanya nae production ya maji kwa Mo na yeye amefungua kiwanda chake cha kutengeneza maji na jamaa ni wa kawaida tu.
Nakufungua macho ,kufungua kiwanda ni simple sana,ebu angalia viwanda vya chaki ,ingia alibaba agiza mashine inafanya kazi fresh tu sio lazima uwe kama bakhresa ndio ufungue kiwanda.
Wewe ndio hujui ,mimi nimefanya kazi kwenye sector zote unazozijua wewe kabla ya kuanza ujasiliamali wa kuchoma mkaa ,kazi za ujenzi ,viwanda ,bank ,udalali,IT,Kuchoma CD ,Music Production etc ,hapo kwa Mo nimefanya kazi sana kwenye kiwanda chake cha maji Masafi ,Nilikuwa kitengo cha kutengeneza chupa tunachukua preform tunaziweka kwenye heater vikiwa vya moto tunepeleka kwenye mold na tunablow chupa inatokea ,sometimes kwenye mkanda na kuzipanga chupa kwenye vibox kisha zinapita kwenye nylon kufungwa.
Hakuna jipya kwenye viwanda usitishike na neno kiwanda ,MO na yule wa mtengeneza sabuni wa twitter wamezidiana scale tu ya production ,ingia Alibaba utoe tongotongo ,wamama mtaani kibao wanatengeneza juice ,wanatengeneza sabuni ,wanatengeneza tomato & chill sauces ,nenda mkoani uone wanavyotenegeza mafuta ya alizeti mtaani...Jamaa yangu tulikuwa tunafanya nae production ya maji kwa Mo na yeye amefungua kiwanda chake cha kutengeneza maji na jamaa ni wa kawaida tu.
Nakufungua macho ,kufungua kiwanda ni simple sana,ebu angalia viwanda vya chaki ,ingia alibaba agiza mashine inafanya kazi fresh tu sio lazima uwe kama bakhresa ndio ufungue kiwanda.
Ndio maana nimesema pia na wewe haujui unaongea nini ,nimesema MO na Jamaa wa twitter mtengeneza sabuni(Mpambazi yes) wanatofautiana production scale tu lakini at the end wote wana viwanda na end products the same, its like mwenye kiswaswadu na mtu mwenye iphone14 wote wana simu tofauti ni baadhi ya features tu ,the same mo na mpagazi ,huyu atumie cold na tambi au hot na madubwashwa gani lakini end procfuct ni sabuni ,mtu wa mtaani anavyotengeneza gongo na konyagi wanavyotengeneza pombe yao wote lazima wafanye distillation huyu atatumia pipa na mwingine atatumia mashine ya alibaba lakini wote wanapata end products moja(Achilia mbali % ya alcohol ,quality etc) na wote wana viwanda vya kutenegeneza spirit.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.