MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

Waliotoa hizo takwimu hawajakurupuka hata kidogo,kwahivo we tulizana tu na utafute pesa.
F4117CBD-8663-46F4-AC3C-39CB0ECE9723.jpeg
 
Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa
ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa.

Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndiyo tajiri wa Tanzania? Ama anafanya ubabaifu aonekane hivo?

Mo hana utajiri wa kumshinda Bakhresa!
 
Sawa rafiki wa iker huna uelewa kabsaa watu wa malafudhi mnashida sana bungeni wanataka serikali inunue moja kwa moja bila kupitia kwa mzabuni
Manunuzi ya serikali huwa yanapitia kwa mzabuni shida ya watu ambao hamjawah fanya kaz serikalini na wajuju kama wew ni hovyo kabisa na serikali huwa inatumia mzabuni sababu huwa haina pesa cash so anapewa huduma malipo atafanya hata baadaye wataka useme
Hata zile gari anazotembelea rais kuwa aliwaletea toyota???
Kwa hiyo hizo VX anazotembelea Rais zinatoka kampuni la Nissan,Benz au Toyota?? Jibu ni kwamba zile gari zinatoka Toyota!
 
Sawa rafiki wa iker huna uelewa kabsaa watu wa malafudhi mnashida sana bungeni wanataka serikali inunue moja kwa moja bila kupitia kwa mzabuni
Manunuzi ya serikali huwa yanapitia kwa mzabuni shida ya watu ambao hamjawah fanya kaz serikalini na wajuju kama wew ni hovyo kabisa na serikali huwa inatumia mzabuni sababu huwa haina pesa cash so anapewa huduma malipo atafanya hata baadaye wataka useme
Hata zile gari anazotembelea rais kuwa aliwaletea toyota???
Kwa hiyo unataka kusema hiyo gari aliyopanda Rais sio Toyota?? Hivi shule hua mnaenda kukua??
Screenshot_20221022-194604.jpg
 
Mmetaja vyote ila mnasahau SSB anamiliki vibg'amuzi.


Hapo kuna hela nyingi sana.
 
Unataka useme faida ya sabuni inaweza shida faida ya azamtv ama faida ya azam marine hebu kuwa serious huyu mo alieanzisha mo electro ikashindwa fanya vizuri ndani kwake mwenyewe anatumia sony?
Sabuni anauza zaidi ya tani 600 kwa siku
Ambazo ni gari 20

Unajua bei ya Gari moja ya Sabuni za miche midogo ni bei gani?

Tani 32
Ni sawa na katoni ndogo 6400*13000
Gari 1 ni zaidi ya 83mil

Ambazo Azam Marine hubeba watu 200 ambazo hulipwa 30000 wastani
Hivyo safari moja hupata 6mil
Trip 8 kw siku anapata 24mil
Tufanye 30mil


Ukija kwenye azam tv

Ana wateja 500,000+
Kwa mwezi kama kila kingamuzi kitalipiwa 23,000
Basi Azam wataingiza 11bil

Wakato MO kwa siku anaingiza 1.6bil kwenye sabuni za miche tu
Ukizidisha kwa mwezi unakuta anapata zaidi ya 50bil
Hapo hatujaweka Sabuni kubwa, za kuogea, za unga
 
Wanashindwa kuelewa hata yule jamaa aliyekuwa anabishana na kigogo twitter naye ana kiwanda cha sabuni....wamama mtaani wapo kibao wanatengeneza sabuni.
Sasa unaweza linganisha utengenezaji wa MO na yule jamaa?
 
Tatizo unatangaliza mahaba kuliko uhalisia

Sukari anazouza SSB hata MO huuza, maana toka zamani mawakala wa Sukari walikuwa 3 (MO, SSB, Harun Zakaria)
Achana na uwakala huyu anamiliki kiwanda kuwa serious basi
Zanzibar nzima azam anamiliki sheli za mafuta
Huwezi panga na mo anaeniliki viwanda vya viberiti sijui sabuni za lodge kwenye website yake amesema anakampuni inaitwa zephona ndo superdealer wa vodacom hiyo kampuni imeshakufa toka 2008 hata wew huijui
 
Back
Top Bottom