Mo ansema anakampuni ya simu ndo super dealer wa vodacom ila iyo kampuni ya zephona imeshakufa toka 2008 ila anahesabu ni kampuni ipo
Hapa JF ukitaka kununua hata bajaji tu utaambiwa ili faida ionekane itabidi uendeshe mwenyewe.
Check utitiri wa biashara za hao jamaa halafu Mo ana hadi ratiba ya kwenda gym na yupo TikTok!
Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa
ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa.
Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndiyo tajiri wa Tanzania? Ama anafanya ubabaifu aonekane hivo?
Kwa macho makaliHili la kuwajadili matajiri ikiwa sisi hatuna kitu, nalo mkalitizame
Kwa hiyo hizo VX anazotembelea Rais zinatoka kampuni la Nissan,Benz au Toyota?? Jibu ni kwamba zile gari zinatoka Toyota!Sawa rafiki wa iker huna uelewa kabsaa watu wa malafudhi mnashida sana bungeni wanataka serikali inunue moja kwa moja bila kupitia kwa mzabuni
Manunuzi ya serikali huwa yanapitia kwa mzabuni shida ya watu ambao hamjawah fanya kaz serikalini na wajuju kama wew ni hovyo kabisa na serikali huwa inatumia mzabuni sababu huwa haina pesa cash so anapewa huduma malipo atafanya hata baadaye wataka useme
Hata zile gari anazotembelea rais kuwa aliwaletea toyota???
Kwa hiyo unataka kusema hiyo gari aliyopanda Rais sio Toyota?? Hivi shule hua mnaenda kukua??Sawa rafiki wa iker huna uelewa kabsaa watu wa malafudhi mnashida sana bungeni wanataka serikali inunue moja kwa moja bila kupitia kwa mzabuni
Manunuzi ya serikali huwa yanapitia kwa mzabuni shida ya watu ambao hamjawah fanya kaz serikalini na wajuju kama wew ni hovyo kabisa na serikali huwa inatumia mzabuni sababu huwa haina pesa cash so anapewa huduma malipo atafanya hata baadaye wataka useme
Hata zile gari anazotembelea rais kuwa aliwaletea toyota???
Kweli wew kibwengo nimuliza aliwaletea huyo agent wa toyota amaKwa hiyo unataka kusema hiyo gari aliyopanda Rais sio Toyota?? Hivi shule hua mnaenda kukua??View attachment 2394904
Anaitwa mahfoudhNani huyo?
Mo hana utajiri wa kumshinda Bakhresa!
Hahaha
Hapa JF ukitaka kununua hata bajaji tu utaambiwa ili faida ionekane itabidi uendeshe mwenyewe.
Check utitiri wa biashara za hao jamaa halafu Mo ana hadi ratiba ya kwenda gym na yupo TikTok!
Sabuni anauza zaidi ya tani 600 kwa sikuUnataka useme faida ya sabuni inaweza shida faida ya azamtv ama faida ya azam marine hebu kuwa serious huyu mo alieanzisha mo electro ikashindwa fanya vizuri ndani kwake mwenyewe anatumia sony?
Tatizo unatangaliza mahaba kuliko uhalisiaUwekezaji wa kiwanda cha sukari cha bagamoyo sugar utapanga ni viwanda vya sabuni sijui mafuta sijui ukusanyaji wa choroko na katani hebu muwe serious
Sasa unaweza linganisha utengenezaji wa MO na yule jamaa?Wanashindwa kuelewa hata yule jamaa aliyekuwa anabishana na kigogo twitter naye ana kiwanda cha sabuni....wamama mtaani wapo kibao wanatengeneza sabuni.
Achana na uwakala huyu anamiliki kiwanda kuwa serious basiTatizo unatangaliza mahaba kuliko uhalisia
Sukari anazouza SSB hata MO huuza, maana toka zamani mawakala wa Sukari walikuwa 3 (MO, SSB, Harun Zakaria)