Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

Kwa hiyo kwa sababu ulimboka alitekwa kwa hiyo kuteka na kuua halali?

Una akili za kutosha kisoda
Sijazungumzia uhalali hapa bali nimekumbusha kwamba hayo mambo yalikuwepo na bado yapo.
 
Subilia nchi ipatee tukio la kuibua hisia za watu mafisa kipenyo watamfuta aseme ili kufunika kombe hasira za wanaichi zipite
 
Bado yapo? Nani katekwa kwa amri ya Samia
Unategemea Samia mwenyewe atangaze kuwa ametoa amri ya kutekwa mtu au kwamba serikali ndio itangaze hivyo? Hata issue ya Ulimboka haikutangazwa kwamba Kikwete ndio alitoa ile amri ya kutekwa Ulimboka.
 
Back
Top Bottom