Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

Kwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstate
Ushamba ulimzidi, hakujua ukubwa wa madaraka yake ndiyo maana akataka kujihusisha hata kwenye kutesa waliokamatwa na TISS. Yasemekana alihusika Moja kwa Moja kumlazimisha MoDewji aachilie Ardhi aliyokamata kule Lindi. Hata katika kumhoji Ben Saanane napo alihusika. Hatutaki washamba wa Kolomije tena
 
Una uhakika gani katika hili? Mimi siamini kama mtu mkubwa namna hii anaweza kutekwa na system kwa sababu hata yeye pia lazima tu ni sehemu ya hiyo sytem; system haiwezi kujiteka yenyewe.
Mimi kwa sasa hivi naamini kuwa waliofanya hivyo watakuwa ni mamluki wale ambao walikuwa wanafanya kazi kinyume na Serikali ya JPM
ibilisi fedhuli hasidi mwanahizaya mkubwa wewe, hukumjua yule Shetani Magufuli
 
Mo Dewji atekwe na system kwa lipi? Angeweza au anaweza kuifanya nini nchi hii? Maana mambo mengine tunayajadili bila ku reason. Namuona ni 'msoftiii' tu anayeweza kucheza na akili za wana simba na biashara zake. 🙏🙏🙏
Kwa maan hiyo bas nchi yetu ipo exposed san kweny issue za kiusalama, kama tajiri mkubwa anatekwa kweupe still kama Taifa tujitafakar
 
Kwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstate
Mimi sishauriki, ukinishauri ndiyo umeharibu kabisaaaa.... Nadhani unalikumba hili
 
Wewe acha watu wajidili mambo ya maana wewe umeolewa na siasa za ccm tu, mambo mengine usikilize watu intellectuals wana jadili huenda utajifunza mengi, kuna maisha nje ya chama chako.
Mkuu huyo hana akili na ndiyo maana siku hizi hakuna mtu yeyote anayemjibu, mpuuze tu kwani dish lale haliko sawa
 
JPM kagoma kufa bado yupo sana mioyoni mwa wa-TZ na bado endelea kuteseka naye hadi siku utayokufa wewe ndipo naye atakufa [emoji1787].

Vyeti vyako feki, madawa ya kulevya hadi ufe kwa kansa, vidonda vya tumbo, presha na stroke vitakuua ukituachia PISI KALI wako tukimtafuna kiufundi haswa huku akipigwa makofi kukutukana matusi yooote [emoji28]
Ben aliuawa kwa sababu ya kufatilia cheti fake cha Jiwe
 
Bado wapo na bado wana nguvu kuwataja ni kujitafutia balaa jipya hasa kwenye biashara zake
nilikuwa simpendi jiwe, moja ya sababu ya kutompenda ni visa vingi kutekana chini ya utawala wake.

ila nilipokuja ambiwa sababu za msingi za kumteka MO na kwenda kumficha mkoa fulani kwenye safe house ya tiss, nikasema sawasawa tu. acha wamnyoshe.

juzi kati hapa nikiwa safarini kwenda arusha, nikatazama yale ma estate makubwa ya mkonge anayomiliki Mo na familia yake. nikasema dah hii nchi kuna watu wamejuwa kujimilikisha na kuifaidi.
 
Kwani alia pora au kaninua kihalali ? Wa kilaumu ni chama chake ki licho muuzia hiyo aridhi,

Unajua sisi masikini tuna kasumba moja tuna dhani kumflisi tajili ndo tutatajilika sisi, wakati sio kweli ni roho mbaya tu yakimasikini, na jiwe hiyo roho mbaya ya kimasikini ilimsumbua sana.....
 
Kwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstate
Kwa hiyo wakati wa Marais wengine waliomtangulia na huyu wa sasa hakuna hiyo deepstate? Kwa nini utekaji ukakithiri kipindi chake tu?!!!
 
Kwa maan hiyo bas nchi yetu ipo exposed san kweny issue za kiusalama, kama tajiri mkubwa anatekwa kweupe still kama Taifa tujitafakar
Usalama wa raia Tanzania uko juu mno. Huko Marekani au kwengineko Ulaya siyo kutekwa tu mwendawazimu mmoja anaweza kupiga bunduki watu hata 50 na kuua. Ushasikia hapa? 🙏🙏🙏
 
Kwa hiyo wakati wa Marais wengine waliomtangulia na huyu wa sasa hakuna hiyo deepstate? Kwa nini utekaji ukakithiri kipindi chake tu?!!!
Kila Raisi anakua na mfumo wake wawadeshaji Jiwe alitumia mbinu ya ubabe kwa kutumia state apparatus
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
 
Back
Top Bottom