Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa una shida na huyo mtu, sio kwa chuki hiyoOna ili jinga nalo, mwendazake ndio alimteka na kundi lake
Kwahiyo unaamuaje sasa? Unamtengaje rais na hiyo deep state?Kama Deep state zina operate kuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa Moja
Kama Deep state zina operate kuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa Moja
Wewe mwerevu si unawajua wahusika, kalishtaki hilo kundi sasaOna ili jinga nalo, mwendazake ndio alimteka na kundi lake
JPM kagoma kufa bado yupo sana mioyoni mwa wa-TZ na bado endelea kuteseka naye hadi siku utayokufa wewe ndipo naye atakufa [emoji1787].wewe jamaa punguani kweli. magufuli alijiharibia mwenyewe kimataifa kwa ushamba wake akifikiri angeweza kwenda kinyume na dunia akaishia kufa kifo cha covd 19 aliyodanganya dunia kwamba ipo kwenye mapapai
hahahaha..... hao chadema wamteke mo ili iweje? wana jesh?
ipo siku bi mkubwa wako atapata ujauzito nje ya ndoa utawasingizia chadema wewe
Makamba ni wazir wa nishati sasaivi
kama vipi kalifufeni lile dubwasha lenu kule chato.... liliteka watu ili liwapore pesa zao kisha likadanganya ati mapato yanaongezeka
mungu fuuuundi
asante mungu kutuondolea uzia tz
[emoji28][emoji23]wewe mcundu acha uzwazwa bana hata kama una hamu.
kama ana haja ya kufanya hivyo unadhani kipi kinamshinda wakati ni mwaka sasa mlawiti wako hayupo!!!!
Nenda wewe Congo tuondolee ujinga wako hapa. Kwani lazima tuigane UHAYAWANI? Ndiyo maana dubwasha lenu lilikufa mwaka jana kwa kutaka kuiga mambo ya Rwanda ya kutekana na kuuana. Sasa Tanzania ni mahali pema pa kuishi bila MagufuliHv ww ungekuwa na Raisi kama Putin ungemuita nani!!??
Eti shetani!!?? Yupi kweli wtz ni mayai mayai softi softi.....
Nenda Kongo huko utakuta watu na nusu
mo swala la kutekwa na makubalian yake na watekaj n swala la binafsi nadhan tumuache mwnyw anawez akasem au asisem maan n swala binafcNi miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.
Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
View attachment 2392595
Sasa hapo amefunguka nini pumbafu wewe unayeita enzi ya jpm ya shetani. Bila shaka mwenyewe ndio shetani.Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.
Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
View attachment 2392595
Tusisingizie deep state kila kitu. Yale yalikuwa mambo binafsi ya Magufuli including kulindwa na askari wa kutoka RWANDA. Na ndiyo maana alipokufa tu nao wakatokomea kurudi kwao. Yule mtu alikuwa na mambo ya KIHAYAWANI sanaKwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstate
Mungu anajuwa shetani ni yupi kati ya mimi na huyo mungu wako Magufuli unayemuabudu pamoja na kwamba amebakia mifupa. Wewe uliyechagua kumuabudu endelea, mimi niliyechagua kumchukia nitamchukia milele. Tusipangiane mtu wa kumpendaSasa hapo amefunguka nini pumbafu wewe unayeita enzi ya jpm ya shetani. Bila shaka mwenyewe ndio shetani.
Utakua mtu mwenye roho mbaya mbinafsi na fisafi mwenye kupenda dhuluma kwa wengine.
Huenda ulitumbuliwa kwa rushwa au wale mlioyokimbia ofisi kwa cheti feki.
Fisadi wahed.