UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Oct 24, 2022 #101 Huihui2 said: Kwa hiyo kwa sababu ulimboka alitekwa kwa hiyo kuteka na kuua halali? Una akili za kutosha kisoda Click to expand... Sijazungumzia uhalali hapa bali nimekumbusha kwamba hayo mambo yalikuwepo na bado yapo.
Huihui2 said: Kwa hiyo kwa sababu ulimboka alitekwa kwa hiyo kuteka na kuua halali? Una akili za kutosha kisoda Click to expand... Sijazungumzia uhalali hapa bali nimekumbusha kwamba hayo mambo yalikuwepo na bado yapo.
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Oct 24, 2022 #102 UHURU JR said: Sijazungumzia uhalali hapa bali nimekumbusha kwamba hayo mambo yalikuwepo na bado yapo. Click to expand... Bado yapo? Nani katekwa kwa amri ya Samia
UHURU JR said: Sijazungumzia uhalali hapa bali nimekumbusha kwamba hayo mambo yalikuwepo na bado yapo. Click to expand... Bado yapo? Nani katekwa kwa amri ya Samia
Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,129 Reaction score 7,321 Oct 24, 2022 #103 Huihui2 said: Bado yapo? Nani katekwa kwa amri ya Samia Click to expand... Hata wale wa kujiteka wenyewe kwenye kipindi hiki cha mama mimi bado sijawasikia
Huihui2 said: Bado yapo? Nani katekwa kwa amri ya Samia Click to expand... Hata wale wa kujiteka wenyewe kwenye kipindi hiki cha mama mimi bado sijawasikia
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 4,664 Reaction score 9,929 Oct 24, 2022 #104 Subilia nchi ipatee tukio la kuibua hisia za watu mafisa kipenyo watamfuta aseme ili kufunika kombe hasira za wanaichi zipite
Subilia nchi ipatee tukio la kuibua hisia za watu mafisa kipenyo watamfuta aseme ili kufunika kombe hasira za wanaichi zipite
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Oct 24, 2022 #105 Huihui2 said: Bado yapo? Nani katekwa kwa amri ya Samia Click to expand... Unategemea Samia mwenyewe atangaze kuwa ametoa amri ya kutekwa mtu au kwamba serikali ndio itangaze hivyo? Hata issue ya Ulimboka haikutangazwa kwamba Kikwete ndio alitoa ile amri ya kutekwa Ulimboka.
Huihui2 said: Bado yapo? Nani katekwa kwa amri ya Samia Click to expand... Unategemea Samia mwenyewe atangaze kuwa ametoa amri ya kutekwa mtu au kwamba serikali ndio itangaze hivyo? Hata issue ya Ulimboka haikutangazwa kwamba Kikwete ndio alitoa ile amri ya kutekwa Ulimboka.