Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Unavyo hoji utafikiria ni mwana hisa flani hivi konki [emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo Moo hakuna anachotegemea kupata kwa Simba?
1) Kuna muwekezaji gani anayefanya uwekezaji halafu mwisho wa siku asitegemee kupata mafanikio ya uwekezaji wake?
2) Pesa iliyoingiza timu ya Simba kwa kufika hatua ya robo fainali CAF msimu wa 2018/2019 zipo kwenye account ipi? Na je zimetumika kiasi gani, kwa kufanyia kitu gani? Na je ibakia kiasi gani?
3) Je hesabu ya mapato na matumizi ya timu ya Simba ni nani anayehusika kusimamia?