Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mimi sio mtaalamu kusema najua sana kama Mo anapata hasara au faida kutokana na mapato ya vyanzo vya mapato vya SimbaKwahiyo mo ni mjinga? Hakufanya mchanganuo wa kujua kama kuwekeza Simba kumtalipa au lah, na kutamlipa vipi na baada ya muda gani? Kama anapata hasara, je nguvu ya kuendelea kutupa ela tena Simba anaipata wapi?
Ila ninachojua mimi Mo kama ni faida basi atakua anaipata kupitia matangazo ya biashara zake kwa mgongo wa Simba SC
Ukichukua mapato ya club ya simba kwa mwaka ukatoa matumizi yote ya Simba lazima itakuja hasara lkini Mo hatumii mahesabu haya kujua faida yake, anatumia mahesabu hayo kuonyesha umma anajitolea
Biashara zake kutangazwa na simba nadhani huko ndiko anajua anapataje faida kiasi kwamba hata Simba wanachama hawajui sana sana wanaishia kumuonea huruma kwa hesabu za mapato toa matumizi
Mimi ni Simba damu lakini sijawahi kuamini ati Mo anajitolea tu kwa hasara kuisaidia Simba
Ninachojua mimi ni angalau ameifanya club yetu tunatembea kifua mbele na mambo yanakwenda vizuri kuliko utopolo fc