Mo Dewji aweka wazi sababu za CEO Senzo kukimbia

Mo Dewji aweka wazi sababu za CEO Senzo kukimbia

Mudi mjanjamjanja alikua boss Singida united akachemsha, akawa boss African lion akachemsha kwa sasa yupo umbumbuni napo atachemsha. Ni mudi uyu uyu hajabadilika ni swala la muda tu kabla ajaondoka na baadae kurudi na timu nyingine.

Hata ukifika Muda huo, basi yanga ishakuwa kama Ndanda tu.
 
Ujanja ujanja upo kwenye makubaliano yao ya uwekezaji.
Moo ana hisa 49% na simba ana hisa 51 %.
Ilitakiwa kama wanataka kufanya uwekezaji wa bilioni 20.
Simba atoe kiasi chake na moo atoe kiasi chake.
wawekeze kwa miaka kadhaa wa kipata faida wagawane.
Ila sio kubaki moo alisema ataweka bilioni 20 kwenye account ya simba.
HYO NI NDOTO.
HATA MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFANYA HIVYO..
SIMBA HAINA THAMANI YA BILIONI 20.
Tusidanganyane.
Kama wachezaji wanalipwa na wanasajiliwa na timu inakwenda vizuri HICHO NDO CHA MAANA

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mambo ya uwekzeaji hayaendi hivyo!! Simba tayari ana assets zake ambazo ni pamoja na mashabiki! Na hao mashabiki ndio hasa Mo anaowahitaji! That being said, hapo hakuna cha Simba atoe kiasi chake kwa sababu kiasi chake ni assets zake!!

Mo ndie alitakiwa atoe hicho kiasi chake equivalent to 49%!!

Badala ya kutoa, ndo kwanza anawaeleza anatumia 4B kjwa mwaka!!!

Ile jana kaulizwa kuhusu 20B kapiga dana dana tu!!!
 
Wasted sperm
Acha ushamba we mbwiga... kwenye social forums watu wana-show love na sio kuleta matusi! Au ndie wale mlionunuliwa simu na shemeji zenu karibuni kwahiyo mnakuwa na ulimbukeni flani hivi na social networks?

Tena si ajabu hata simu yenyewe ni shemeji yako... akienda kuoga unaiba unaingia JF, no wonder ndo kwanza una posts 38!
 
Huyo Rage aliifikisha wapi Simba kimapato si amewahi kuwa Kiongozi simba.
Mzee Rage aliniacha hoi siku anakabidhi ofisi mbele ya kamera huku akidai anaiachia Simba Sh 400M! Watu wacha waanze kumpongeza kwa kitendo hicho cha kihistoria cha kiongozi wa Yanga au Simba kuacha mpunga mnene kiasi hicho!

Few days later uongozi mpya unaenda benki, wanakuta hamna kitu... kumbe Rage alikuwa anatangaza kuwaachia Simba 400M ya Okwi ambayo ilikuwa hata kulipwa haijalipwa!
 
Kwani kabla ya moo kuwa simba biashara zake zilikuwa haziuziki?.
Kama simba ina assets mbona inashindwa kujiendesha yenyewe?.
Hao yanga kwani hawana hzo assets ?mbona kabla ya GSM kuingia walikuwa wanashindwa kuwalipa wachezaji wao mishahara?.
Na mpaka Leo kuna wachezaji wanaidai Yanga.
Kwanini hizo assets zisitumike kuwalipa?
Mambo ya uwekzeaji hayaendi hivyo!! Simba tayari ana assets zake ambazo ni pamoja na mashabiki! Na hao mashabiki ndio hasa Mo anaowahitaji! That being said, hapo hakuna cha Simba atoe kiasi chake kwa sababu kiasi chake ni assets zake!!

Mo ndie alitakiwa atoe hicho kiasi chake equivalent to 49%!!

Badala ya kutoa, ndo kwanza anawaeleza anatumia 4B kjwa mwaka!!!

Ile jana kaulizwa kuhusu 20B kapiga dana dana tu!!!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kabla ya moo kuwa simba biashara zake zilikuwa haziuziki?.
Kama simba ina assets mbona inashindwa kujiendesha yenyewe?.
Hao yanga kwani hawana hzo assets ?mbona kabla ya GSM kuingia walikuwa wanashindwa kuwalipa wachezaji wao mishahara?.
Na mpaka Leo kuna wachezaji wanaidai Yanga.
Kwanini hizo assets zisitumike kuwalipa?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mbona unachanganya mada...

Wewe umedai Mo alitakiwa kutoa kiasi chake, na Simba watoe kiasi chake kisha wawekeze! Ndipo nimekujibu kiasi cha Simba ni assets zake kwahiyo aliyekuwa anatakiwa kiasi chake ni Mo!!

Sasa hayo mengine yanatoka wapi?!

Tatizo lako bado lipo pale pale... unaamini Mo anafanya charity work pale Msimbazi! Nami nasisitiza, Mo hafanyi charity work kwa sababu kaingia Simba kama mwekezaji mwenye 49% of shares!!!!

Hizo pesa unazoona anatoa kama charity is just the cost of operations zinazoingiwa na biashara yoyote na lazima zitatokea kwenye Simba Company Balance Sheet!
 
Assets peke yake haziwezi kuendesha clubs.
Tambua hilo kwanza.

Ameanza kuwa Mwamedi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mo ni Tapeli
Wameshirikiana na kina Hanspope kwa kuwa share za club bila kulipa chochote na yeye akajizolea 70% ya share za hicho wanachosema company
Mo hakulipa hata sent moja.
Ameahidi kujenga uwanja wa kisasa kama part ya deal mpaka leo anadanya kwa kuonesha uwanja wa chini kigamboni
Simba inaendeshwa kwa mapato ya mlangoni.
Mapato kutoka Azam Tv
Vodacom
Sportpesa
Na fedha za kuuza wwchezaji.
Mo ananufaika zaidi kwa kutangaza brand zake za MO.
Lakni halipi chochote.
Simba imehujumiwa na inashangaza serikali ikaridhia utapeli huu
Walikuwepo wanachama wqchache waliopinga wakatishwa na wengine wakapewa nafasi za bodi kunyamazishwa.
Huyu manara naye ni tapeli mmoja ambae ndo anae hadaa watu kwa makelele kuonesha simba timu kubwa sana tangu auziwe mo.
Siku mo akifa simba inarithiwa na mtoto wake.
20 billion hajalipa hata senti tano
Inashangaza sana Rais karuhusu utapeli huu kuwanyanganya wanachama timu yao ilioundwa tangu 1936.
Kama ana uwezo wa kuendeleza footbal angefanya alichofanya Azam.
Lakini umefanyika wizi utapeli na ufisadi mkubwa na serikali inaangalia timu ikichukuliwa kutoka kwa waswahili hadi kwa mhindi.
 
Acha ushamba we mbwiga... kwenye social forums watu wana-show love na sio kuleta matusi! Au ndie wale mlionunuliwa simu na shemeji zenu karibuni kwahiyo mnakuwa na ulimbukeni flani hivi na social networks?

Tena si ajabu hata simu yenyewe ni shemeji yako... akienda kuoga unaiba unaingia JF, no wonder ndo kwanza una posts 38!
Wasted sperm
 
Wasted sperm
Dadangu vp?! Umeletewa kimada ndani na kwahiyo unatafuta bwana kwa nguvu wa kukutoa stress, au ndo wale mkiingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na waume zenu, mnatafuta wa kwenda kuwafia wafia?!

Sorry, you're not my type... nitakupeleka wapi wakati una dalili zote kwamba umeshaharibiwa kwenye njia ya haja kubwa!
 
Mi nasoma komenti tu hapa sina mbavu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mudi mjanjamjanja alikua boss Singida united akachemsha, akawa boss African lion akachemsha kwa sasa yupo umbumbuni napo atachemsha. Ni mudi uyu uyu hajabadilika ni swala la muda tu kabla ajaondoka na baadae kurudi na timu nyingine.
Kachemkaje boss?? Simba imebeba kikombe miaka mitatu mfululizo na huu msimu ujao inaenda beba kikombe cha nne mfululizo..

Yanga mkiendelea kukalia uswahili Simba itakuwa Juve, Buyern, PSG, Celtic ya Tanzania. Itadominate ligi miaka hata 10 bila upinzani wowote..

Mudi ni mfanyabiashara, Simba is a win win kwa Mudi. Hakuna kipindi Simba na mashabiki wake wametulia kama kipindi hiki. Na hichi ndio kinampa faida zaidi Mo..

Mo anafaidika sana na Simba ndio maana anaweza mwaga mabilioni, lakini pia mabilioni hayo ndio yanawapa furaha wana msimbazi. Nyie endeleeni kumkumbatia Injinia asiye na vyeti, tapeli la Kihabeshi mtaishia kupigania nafasi ya pili na kucheza hapahapa mchangani..
 
Rudia tena, wenye akili pekee ndo watakua wamemwelewa. Ila yanayobweka ka manyani hayawezi kumwelewa

Wabongo tunauliza hili swali la bilioni 20 hadi tunakera na yeye kaweka wazi mchakato bado haujakamilika na kasema b.20 hawezi kosa. Pili ametoa fursa ya kuulizwa swali la msingi sana sana. Kawaambia waandishi mbona hawamuuliza ruzuku anayotoa simba na pesa ya usajili anatoa wapi? Na pesa hii ni tofauti na b.20. Hili hawaulizi wanang'ang'ania b.20 utadhani yao!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Dadangu vp?! Umeletewa kimada ndani na kwahiyo unatafuta bwana kwa nguvu wa kukutoa stress, au ndo wale mkiingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na waume zenu, mnatafuta wa kwenda kuwafia wafia?!

Sorry, you're not my type... nitakupeleka wapi wakati una dalili zote kwamba umeshaharibiwa kwenye njia ya haja kubwa!
[emoji28][emoji28][emoji28] wasted sperm
 
[emoji28][emoji28][emoji28] wasted sperm
And you're right... heavy sperms deep into your asshole instead of deep into your pussy; it's absolutely wasted sperms! Now tell me bitch, umeshamalizana na mumeo?! Ushauri wangu ni kwamba, kamripoti kwenye dawati la jinsia kabla hajakuharibu zaidi!!!!
 
Wabongo tunauliza hili swali la bilioni 20 hadi tunakera na yeye kaweka wazi mchakato bado haujakamilika na kasema b.20 hawezi kosa. Pili ametoa fursa ya kuulizwa swali la msingi sana sana. Kawaambia waandishi mbona hawamuuliza ruzuku anayotoa simba na pesa ya usajili anatoa wapi? Na pesa hii ni tofauti na b.20. Hili hawaulizi wanang'ang'ania b.20 utadhani yao!
Hatoi yeye
Simba ina ufadhili wa
voda
Azam tv
Sportpesa
Fedha hizo ni zaidi ya 10b
Yeye hatoi chochote
 
Acha upumbavu wewe mtaji wako ni milion 5 utawezaje kuuza Hisa za milion 15. Unaelewa hata ulichoandika.

Kwa akili zako finyu ulizopewa za kuvukia Barabara sishangai kwanini mnajazana ujinga. Kama hujui hata shares contribution inavyoenda.

Huwezi kumwelewa Kobello kama huna basics za accounts.

Na kwa akili za majibu kama haya sioni ukielewa hata ueleweshwe vipi.
 
Back
Top Bottom