Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Utakuta huyo Jamaa ni mchambuzi WA radio station Fulani hapa mjiniMbona kama umepaniki hivi
Kwani kazi ya CEO ni nini?
CEO ndio msimamizi wa kila kitu...... ndio boss
Amepewa malengo hajatimiza wewe unatatizika na lipi? Unaujua mkataba wake ulikua unasemaje?
Unajua malengo ya club kuliko wahusika wenyewe?
Hayo uliotaja ni yakwako na sio ya club
Mwisho sitaki kuamini kama unaamini kati ya watanzania wote hakuna anayeweza kuwa kama setho
Yani hata wasiyoyajua wenyewe wanasema sema tu