Mo Dewji aweka wazi sababu za CEO Senzo kukimbia

Kwahiyo Moo hakuna anachotegemea kupata kwa Simba?

1) Kuna muwekezaji gani anayefanya uwekezaji halafu mwisho wa siku asitegemee kupata mafanikio ya uwekezaji wake?

2) Pesa iliyoingiza timu ya Simba kwa kufika hatua ya robo fainali CAF msimu wa 2018/2019 zipo kwenye account ipi? Na je zimetumika kiasi gani, kwa kufanyia kitu gani? Na je ibakia kiasi gani?

3) Je hesabu ya mapato na matumizi ya timu ya Simba ni nani anayehusika kusimamia?
Unavyo hoji utafikiria ni mwana hisa flani hivi konki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mudi mjanjamjanja alikua boss Singida united akachemsha, akawa boss African lion akachemsha kwa sasa yupo umbumbuni napo atachemsha. Ni mudi uyu uyu hajabadilika ni swala la muda tu kabla ajaondoka na baadae kurudi na timu nyingine.
Huyu wa sasa amekua Mo na sio Mudi wa singida na african lion [emoji23]
 
Ebu niambie moo anapata nini pale simba?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Huwezi kusema hapati kitu wakati hujui hesabu halisi. Au wewe mwenzangu unajua Simba katika msimu wa kwanzia 2018 mpaka msimu huu wa 2020 imeingiza pesa kiasi cha sh ngapi? Na je kwa msimu hiyo miwili Simba imetumia sh ngapi katika matumizi ya club Katika kuendesha timu?
 
Imeingiza kiasi gani KWA vyanzo vipi vya mapato?

Hayo maswali yanajibiwa kwenye vikao vya bodi huko, Usiulize vitu ambavyo unajua huwezi jibiwa
ile Timu sio kikoba kwamba watusomee mashabiki mapato na matumizi sisi yanatuhusu nini?

Ukitaka kujua jumlisha mwenyewe pesa from
Sportpesa-
Azamtv-
Gate collections( huwa zinatangazwa)
Vodacom
Na Metl( mkataba upo wazi na walitangaza)
 
Moo ni shabiki wa simba ukiacha uwekezaji wake hapo simba.
nani anayeweza kutoa hela zake kuijenga timu?.
kipi anacho pata moo pale simba?.
Moo anajitahidi sanaaa kuiendesha simba angekuwa mwingine angeshindwa.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nyie mashabiki wa Simba bhana utadhani watu wa Lumumba!!!

Miezi michache iliyopita tulimsikia Mwamedi akilia lia kupoteza 4 Billion kwa mwaka baada ya kuwa mmetunguliwa kule Unguja mchana kweupeeee!! Kilumumba lumumba mkashangilia huku mkimuonea huruma eti kwa jinsi anavyojitoa kwa Simba kiasi cha kutumia 4 Billion!

Leo sio tena 4 Billion bali 3 Billion... bado mnashangilia na mnadai hakuna anachopata!!

Hapo hapo Mwamedi anawadanganya eti Senzo katoka nduki kisa kashindwa kufikia malengo ya kupoteza gharama... ebo!! Hajafikia malengo kivipi wakati couple of months ago alituambia anatumia 4 Billion na leo katuambia anatoa klabuni 3 Billion?!

Na jinsi Mwamedi anavyoongea na nyie kuunga mkono, ni kana kwamba Simba ni kama Timu ya Ndanda Sports Club! Kwamba, hawaingizi hata shilingi!!

Itoshe tu kusema kwamba Mwamedi hayupo Simba kama shabiki bali kama Mfanyabiashara!!! Hakuna mfanyabiashara anayeweza kuwekeza pasipo na faida!!! Kila anachokifanya lazima kiingie kwenye mahesabu na lazima aione faida yake ama leo au kesho... simple like that!
 
Imeingiza kiasi gani KWA vyanzo vipi vya mapato?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Tuanzie msimu wa 2018/2019 mpaka msimu wa 2019/2020

Vyanzo hivi:

1) viingilio vya mechi uwanjani
2) haki ya matangazo ya mpira kupitia Azam tv
3)jezi (uuzwaji wa jezi pamoja na matangazo ya Mo kupitia jezi ya Simba
4) mapato kutoka CAF kwa kufika hatua ya robo fainali
5) matangazo ya Mo kujitangaza kwenye social media kupitia account ya Simba
 
Kwani senzo kafukuzwa au kaondoka mwenyewe?.
Kuhusu hela za moo ni kweli alipata hasara.
Ni wazi lengo lake afike mbali klabu bingwa africa kwa msimu uliopita kutolewa mapema ni hasara.
Ila kwa hapa Tanzania hakuna chanzo cha maana cha mapato ambacho tutasema moo anakitegemea kuiongoza simba na yeye kupata.
Nyie mashabiki wa Simba bhana utadhani watu wa Lumumba!!!

Miezi michache iliyopita tulimsikia Mwamedi akilia lia kupoteza 4 Billion kwa mwaka baada ya kuwa mmetunguliwa kule Unguja mchana kweupeeee!! Kilumumba lumumba mkashangilia huku mkimuonea huru kwa jinsi anavyojitoa kwa Simba kiasi cha kutumia 4 Billion!

Leo sio tena 4 Billion bali 3 Billion... bado mnashangilia na mnadai hakuna anachopata!!

Hapo hapo Mwamedi anawadanganya eti Senzo katoka nduki kisa kashindwa kufikia malengo ya kupoteza gharama... ebo!! Hajafikia malengo kivipi wakati couple of months ago alituambia anatumia 4 Billion na leo katuambia anatoa klabuni 3 Billion?!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hapo kote ulipotaja HAKUNA HELA.
Labda kidogo kwenye hela za caf.
lakini pia usisahau hata yanga wana hayo mapato lakini wanayumba.
Na wao wanauza jezi ,na wao wanapata viingilio n.k lakini bado ni tia maji tia maji.
Hakuna helaaaa.
Moo ndo anaibeba simba kwa pesa zake.
Huu ukweli tuukubali.
Tuanzie msimu wa 2018/2019 mpaka msimu wa 2019/2020

Vyanzo hivi:

1) viingilio vya mechi uwanjani
2) haki ya matangazo ya mpira kupitia Azam tv
3)jezi (uuzwaji wa jezi pamoja na matangazo ya Mo kupitia jezi ya Simba
4) mapato kutoka CAF kwa kufika hatua ya robo fainali
5) matangazo ya Mo kujitangaza kwenye social media kupitia account ya Simba

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hayo maswali yanajibiwa kwenye vikao vya bodi huko, Usiulize vitu ambavyo unajua huwezi jibiwa
ile Timu sio kikoba kwamba watusomee mashabiki mapato na matumizi sisi yanatuhusu nini?

Ukitaka kujua jumlisha mwenyewe pesa from
Sportpesa-
Azamtv-
Gate collections( huwa zinatangazwa)
Vodacom
Na Metl( mkataba upo wazi na walitangaza)
Ulichoandika wewe hapo inamaanisha kuwa mo ana shea 100% na wananchi (wapenzi na mashabiki wa Simba) wana Shea 0% hivyo hawapaswi kujua chochote kuhusu timu yao. Na ndio maana wewe pamoja na miongoni mwa mashabiki (ukitoa viongozi wa Simba) hamjui chochote kuhusu mapato ya timu.
 
Kwani senzo kafukuzwa au kaondoka mwenyewe?.
Kuhusu hela za moo ni kweli alipata hasara.
Ni wazi lengo lake afike mbali klabu bingwa africa kwa msimu uliopita kutolewa mapema ni hasara.
Ila kwa hapa Tanzania hakuna chanzo cha maana cha mapato ambacho tutasema moo anakitegemea kuiongoza simba na yeye kupata.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Senzo kaondoka mwenyewe na Mo alilia lia kuondoka kwa Senzo, ndo maana watu tunashangaa leo alivyo-insuniate kwamba Senzo kaondoka kwa kukimbia baada ya kushindwa kufikia malengo aliyowekewa!

Kwamba Mo kapata hasara, hakuna kitu kama hicho!! Anachofanya ni part of his investments to Simba na lazima kitokee kwenye balance sheet! Kiuhasibu, ndo hapo mtakuja kushitukia Simba inafika wakati inapata "mapato" yanayoonekana na kila mmoja lakini bado mnakuja kuambiwa klabu bado inatengeneza hasara kwa sababu balance sheet itakuwa liabilities kubwa zinazotokana na pesa mnazodhani Mo anatoa sadaka!!!

Narudia... Mwamedi hajaja Simba kama shabiki lia lia bali kaja pale kama Mwekezaji Mfanyabiashara!

Hii Soccer entreprenuership imekuwa interest ya Mwamedi for years now, na ndio maana alianza kwa kuanzisha Lyon lakini akakwama; akaenda kunusa Singida nako akaona hakusomeki ndipo alipoamua kwenda kwenye timu ambayo tayari ina huge fans base and history... simple like that!!
 
Hapo kote ulipotaja HAKUNA HELA.
Labda kidogo kwenye hela za caf.
lakini pia usisahau hata yanga wana hayo mapato lakini wanayumba.
Na wao wanauza jezi ,na wao wanapata viingilio n.k lakini bado ni tia maji tia maji.
Hakuna helaaaa.
Moo ndo anaibeba simba kwa pesa zake.
Huu ukweli tuukubali.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sijaizungumzia habari ya Yanga Mimi na hata hivyo mfumo wa Yanga na mfumo wa Simba ni mifumo miwili tofauti.

Ukisema hakuna ela maanake unamaanisha kuwa hivyo vyanzo vyote vimetengeneza 0.000tsh. hakuna hata senti iliyoingizwa kupitia hivyo vyanzo?
 
Hivi unajua kama hata wale GSM PALE YANGA HAKUNA WANACHO PATA ?.
uwekezaji wa mpira wa Tanzania ni ule "wewe toa MUNGU ATAKULIPA TUSAIDIE".
Ila hakuna mfumo wa uwekezaji wa club kupata na muwekezaji kupata. Maana hakuna vyanzo vya mapato vya Maana.
Matumizi ni makubwa kuliko inachoingiza club.
Hapo ndipo tunaowaita wawekezaji wetu moo na GSM kuingia mifukoni mwao Na kuziendesha hizi club
Senzo kaondoka mwenyewe na Mo alilia lia kuondoka kwa Senzo, ndo maana watu tunashangaa leo alivyo-insuniate kwamba Senzo kaondoka kwa kukimbia baada ya kushindwa kufikia malengo aliyowekewa!

Kwamba Mo kapata hasara, hakuna kitu kama hicho!! Anachofanya ni part of his investments to Simba na lazima kitokee kwenye balance sheet! Kiuhasibu, ndo hapo mtakuja kushitukia Simba inafika wakati inapata "mapato" yanayoonekana na kila mmoja lakini bado mnakuja kuambiwa klabu bado inatengeneza hasara kwa sababu balance sheet itakuwa liabilities kubwa zinazotokana na pesa mnazodhani Mo anatoa sadaka!!!

Narudia... Mwamedi hajaja Simba kama shabiki lia lia bali kaja pale kama Mwekezaji Mfanyabiashara!

Hii Soccer entreprenuership imekuwa interest ya Mwamedi for years now, na ndio maana alianza kwa kuanzisha Lyon lakini akakwama; akaenda kunusa Singida nako akaona hakusomeki ndipo alipoamua kwenda kwenye timu ambayo tayari ina huge fans base and history... simple like that!!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo sio hivyo vyanzo kuingia.
TATIZO HAVITOSHI.
si unaona mwenyewe GSM au moo akitaka kutoka kwenye club jinsi vilabu vinavyotetemeka?.
Kwanini wasijiendeshe wenyewe?.
Yanga hao hapo wanaweza kutembea wenyewe kwa hivyo unavyosema vyanzo vya mapato?
Sijaizungumzia habari ya Yanga Mimi na hata hivyo mfumo wa Yanga na mfumo wa Simba ni mifumo miwili tofauti.

Ukisema hakuna ela maanake unamaanisha kuwa hivyo vyanzo vyote vimetengeneza 0.000tsh. hakuna hata senti iliyoingizwa kupitia hivyo vyanzo?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo Moo hakuna anachotegemea kupata kwa Simba?

1) Kuna muwekezaji gani anayefanya uwekezaji halafu mwisho wa siku asitegemee kupata mafanikio ya uwekezaji wake?

2) Pesa iliyoingiza timu ya Simba kwa kufika hatua ya robo fainali CAF msimu wa 2018/2019 zipo kwenye account ipi? Na je zimetumika kiasi gani, kwa kufanyia kitu gani? Na je ibakia kiasi gani?

3) Je hesabu ya mapato na matumizi ya timu ya Simba ni nani anayehusika kusimamia?

Hayo maswali ukipata majibu yake yatakusaidia nini? Hata kadi ya uanachama ya hiyo utopolo yako unayo?
Wee endelea tu kubweka hata mfupa hutupiwi!
 
Endelea kuendekeza akili za usimba na uyanga. Unadhani kila mtu ana akili za usimba na uyanga?
 
Back
Top Bottom