Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mudi mjanjamjanja alikua boss Singida united akachemsha, akawa boss African lion akachemsha kwa sasa yupo umbumbuni napo atachemsha. Ni mudi uyu uyu hajabadilika ni swala la muda tu kabla ajaondoka na baadae kurudi na timu nyingine.
Mambo ya uwekzeaji hayaendi hivyo!! Simba tayari ana assets zake ambazo ni pamoja na mashabiki! Na hao mashabiki ndio hasa Mo anaowahitaji! That being said, hapo hakuna cha Simba atoe kiasi chake kwa sababu kiasi chake ni assets zake!!Ujanja ujanja upo kwenye makubaliano yao ya uwekezaji.
Moo ana hisa 49% na simba ana hisa 51 %.
Ilitakiwa kama wanataka kufanya uwekezaji wa bilioni 20.
Simba atoe kiasi chake na moo atoe kiasi chake.
wawekeze kwa miaka kadhaa wa kipata faida wagawane.
Ila sio kubaki moo alisema ataweka bilioni 20 kwenye account ya simba.
HYO NI NDOTO.
HATA MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFANYA HIVYO..
SIMBA HAINA THAMANI YA BILIONI 20.
Tusidanganyane.
Kama wachezaji wanalipwa na wanasajiliwa na timu inakwenda vizuri HICHO NDO CHA MAANA
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Acha ushamba we mbwiga... kwenye social forums watu wana-show love na sio kuleta matusi! Au ndie wale mlionunuliwa simu na shemeji zenu karibuni kwahiyo mnakuwa na ulimbukeni flani hivi na social networks?Wasted sperm
Mzee Rage aliniacha hoi siku anakabidhi ofisi mbele ya kamera huku akidai anaiachia Simba Sh 400M! Watu wacha waanze kumpongeza kwa kitendo hicho cha kihistoria cha kiongozi wa Yanga au Simba kuacha mpunga mnene kiasi hicho!Huyo Rage aliifikisha wapi Simba kimapato si amewahi kuwa Kiongozi simba.
Mambo ya uwekzeaji hayaendi hivyo!! Simba tayari ana assets zake ambazo ni pamoja na mashabiki! Na hao mashabiki ndio hasa Mo anaowahitaji! That being said, hapo hakuna cha Simba atoe kiasi chake kwa sababu kiasi chake ni assets zake!!
Mo ndie alitakiwa atoe hicho kiasi chake equivalent to 49%!!
Badala ya kutoa, ndo kwanza anawaeleza anatumia 4B kjwa mwaka!!!
Ile jana kaulizwa kuhusu 20B kapiga dana dana tu!!!
Mbona unachanganya mada...Kwani kabla ya moo kuwa simba biashara zake zilikuwa haziuziki?.
Kama simba ina assets mbona inashindwa kujiendesha yenyewe?.
Hao yanga kwani hawana hzo assets ?mbona kabla ya GSM kuingia walikuwa wanashindwa kuwalipa wachezaji wao mishahara?.
Na mpaka Leo kuna wachezaji wanaidai Yanga.
Kwanini hizo assets zisitumike kuwalipa?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mbona unachanganya mada...
Wewe umedai Mo alitakiwa kutoa kiasi chake, na Simba watoe kiasi chake kisha wawekeze! Ndipo nimekujibu kiasi cha Simba ni assets zake kwahiyo aliyekuwa anatakiwa kiasi chake ni Mo!!
Sasa hayo mengine yanatoka wapi?!
Tatizo lako bado lipo pale pale... unaamini Mo anafanya charity work pale Msimbazi! Nami nasisitiza, Mo hafanyi charity work kwa sababu kaingia Simba kama mwekezaji mwenye 49% of shares!!!!
Hizo pesa unazoona anatoa kama charity is just the cost of operations zinazoingiwa na biashara yoyote na lazima zitatokea kwenye Simba Company Balance Sheet!
Mo ni TapeliAmeanza kuwa Mwamedi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasted spermAcha ushamba we mbwiga... kwenye social forums watu wana-show love na sio kuleta matusi! Au ndie wale mlionunuliwa simu na shemeji zenu karibuni kwahiyo mnakuwa na ulimbukeni flani hivi na social networks?
Tena si ajabu hata simu yenyewe ni shemeji yako... akienda kuoga unaiba unaingia JF, no wonder ndo kwanza una posts 38!
Dadangu vp?! Umeletewa kimada ndani na kwahiyo unatafuta bwana kwa nguvu wa kukutoa stress, au ndo wale mkiingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na waume zenu, mnatafuta wa kwenda kuwafia wafia?!Wasted sperm
Kachemkaje boss?? Simba imebeba kikombe miaka mitatu mfululizo na huu msimu ujao inaenda beba kikombe cha nne mfululizo..Mudi mjanjamjanja alikua boss Singida united akachemsha, akawa boss African lion akachemsha kwa sasa yupo umbumbuni napo atachemsha. Ni mudi uyu uyu hajabadilika ni swala la muda tu kabla ajaondoka na baadae kurudi na timu nyingine.
Rudia tena, wenye akili pekee ndo watakua wamemwelewa. Ila yanayobweka ka manyani hayawezi kumwelewa
[emoji28][emoji28][emoji28] wasted spermDadangu vp?! Umeletewa kimada ndani na kwahiyo unatafuta bwana kwa nguvu wa kukutoa stress, au ndo wale mkiingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na waume zenu, mnatafuta wa kwenda kuwafia wafia?!
Sorry, you're not my type... nitakupeleka wapi wakati una dalili zote kwamba umeshaharibiwa kwenye njia ya haja kubwa!
And you're right... heavy sperms deep into your asshole instead of deep into your pussy; it's absolutely wasted sperms! Now tell me bitch, umeshamalizana na mumeo?! Ushauri wangu ni kwamba, kamripoti kwenye dawati la jinsia kabla hajakuharibu zaidi!!!![emoji28][emoji28][emoji28] wasted sperm
Hatoi yeyeWabongo tunauliza hili swali la bilioni 20 hadi tunakera na yeye kaweka wazi mchakato bado haujakamilika na kasema b.20 hawezi kosa. Pili ametoa fursa ya kuulizwa swali la msingi sana sana. Kawaambia waandishi mbona hawamuuliza ruzuku anayotoa simba na pesa ya usajili anatoa wapi? Na pesa hii ni tofauti na b.20. Hili hawaulizi wanang'ang'ania b.20 utadhani yao!
Aweke bilioni 20 kwenye account ya simba ili iweje?.
Unajua moo anatoa kiasi gani kuwalipa wachezaji,wafanya kazi n.k
Kajenga moo arena unajua hela anatoa wapi?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Acha upumbavu wewe mtaji wako ni milion 5 utawezaje kuuza Hisa za milion 15. Unaelewa hata ulichoandika.
Kwa akili zako finyu ulizopewa za kuvukia Barabara sishangai kwanini mnajazana ujinga. Kama hujui hata shares contribution inavyoenda.
Masimba fcManyani FC
Mambwa FC
Utopolo FC [emoji23][emoji23]
Hayo ndo yalikuwa makubaliano?