Si mara yake ya kwanza.Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Wanaomkatisha Tamaa ni wanasimba wenyewe hususani Wale wanaojiita wazee wa Simba .
Wale wazee wana mambo za kishamba [emoji3061]
Tajiri analalamika kila msimu. Inabidi tu umlambe nyayo, utafanyaje sasa?Wanasimba wana kazi mbili, kushabikia timu na kumbembeleza tajiri wao asikate tamaa
Tajiri analalamika kila msimu. Inabidi tu umlambe nyayo, utafanyaje sasa?
Kwani ni mara ya Kwaza?Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Naamini Kuna matajiri wengi wanasubili mo aangushe Mkono waichukue brand ya SimbaSimba ilikuwepo kabla ya Mohamed kuja duniani.
Matajiri bado wapo na watakuja Simba na kila kitu kitakuwa sawa sawaaaa.
Na huo ndo ukweliIwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
😂😅😂nimecheka km.ma e,,,dah!Wanasimba wana kazi mbili, kushabikia timu na kumbembeleza tajiri wao asikate tamaa