Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

uongozi unakulaa helaa mbuziii alizotoa tajiriii...timuuu ikipoteana tajiri anaugeukaa UONGOZIII yeye anajitoaa anasahau bil 20 hajawekaaa hata robo yake😀 😀 😀 😀
 
Mfadhili lialia na mwekezaji domo kaya MO, amewaonya washabiki Simba wakiendelea kumvunjia heshima kutokana tweet yake.Atawaacha wachezaji huko waliko pre season bila kulipa gharama.na kusababisha kuzuiwa mabegi yao na watarudi kwa miguu.hapendi ujinga wakati hawana mchango .ada za kadi uawanahama hazifiki hata milioni 20.wanaongea Nini?
Akituzingua tutamuita Albert Bashite tumfunge kanga ya kiuno halafu tumtupe Gymkana.
Asuthubu kutuletea mazereu ya kikanjibhai.
 
Back
Top Bottom