Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Kinachohitajika ni mpango kazi wa muda mfupi, wa kati, na wa muda mrefu na gharama zake na wadau wenye weledi, huo mpango kazi lazima uainishe mapungufu ama changamoto zilizopita na jinsi ya kuzitatua na mfumu ulio wazi wa utendaji ili hata mwingine asipate ugumu wa kuenenda
 
Rais wa heshima wa Club ya Simba Mfanyabiashara Mohammed Dewji amesema anakaribia kukata tamaa kutokana na mchakato wa mabadiliko wa Club hiyo kutokukamilika hadi sasa huu ukiwa ni mwaka wa sita.

Mo ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa twitter ———> “Transformation ya Simba bado haijakamilika huu ni mwaka wa 6, karibuni ntakata tamaa" #MillardAyoSPORTS
OKW BOBAN SUNZU Scars machawa wa mhindi nendeni mka muangukie miguuni
 
Majukumu yenu kama mashabiki kila msimu si mnayafahamu 1. Kushabikia na kushangilia timu 2.kuhakikisha mnambembeleza tajiri asikate tamaa sasa kwa wakati huu ambao mechi hazipo ndio mkambembeleze,
Atutokee hapa...kama kuna la msingi anaona aongee na uongozi..kama.hawezi basi aachane na Simba maana kila siku ni malalamiko tuu..ndo maana hanenepi.
 
Anataka wale wenye hisa 51% waweke mzigo kama yeye alivyofanya kuweka bilioni 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…