Mo Dewji kuanzisha shamba la ekari laki moja

Mo Dewji kuanzisha shamba la ekari laki moja

Hii imemshawishi kwa vita ya Ukraine
Ni jambo jema sana, kwa ukubwa huo wafanyakazi wengi watapata ajira na chakula kitakuwa kingi
Na mchele wa virutubisho kwaheri
Thomas Sankara tunamkumbuka daima
Screenshot_20240323_161454_Instagram~2.png
 
Hii imemshawishi kwa vita ya Ukraine
Ni jambo jema sana, kwa ukubwa huo wafanyakazi wengi watapata ajira na chakula kitakuwa kingi
Na mchele wa virutubisho kwaheri
Thomas Sankara tunamkumbuka daimaView attachment 2943110
kwangu huyu ndiye kiongozi namba 1 kupata kutokea Afrika. hakuna cha nyerere wala ushuzi wengine.
 
Hii imemshawishi kwa vita ya Ukraine
Ni jambo jema sana, kwa ukubwa huo wafanyakazi wengi watapata ajira na chakula kitakuwa kingi
Na mchele wa virutubisho kwaheri
Thomas Sankara tunamkumbuka daimaView attachment 2943110
Huyu aliipenda na kuijali Nchi yake kwa hali na mali ila wazungu walimchukia sana mwana Afrika huyu.
 
Back
Top Bottom