Mo Dewji kuanzisha shamba la ekari laki moja

Mo Dewji kuanzisha shamba la ekari laki moja

Mabilionea wanaonunua ardhi kwa kasi na kuanza intensive farming , Dangote ,Bill gates ,Bezos , Zuckerberg nk , wote wanauza hisa wanazomiliki kwenye makampuni yao na kuwekeza kwenye kujenga mahandaki na kuanzisha mashamba makubwa na ranch za wanyama ,

Kuna kitu kibaya duniani kinakuja kitaambatana na njaa kali na vifo wanakifahamu ,sisi commoners tunachukulia mambo kiwepesi ,
Wekeza kwenye ardhi ,hasa mashamba ya chakula na kufuga wanyama ,maana huko siku zinazokuja ,chakula kitakuwa zaidi ya dhahabu
Sio kweli technology imesaidia chakula kupatikana kwa wingi wao wananunua ardhi kwa sababu ndio real investment uwalinda wakati wa mdororo wa uchumi
 
Sio kweli technology imesaidia chakula kupatikana kwa wingi wao wananunua ardhi kwa sababu ndio real investment uwalinda wakati wa mdororo wa uchumi
Food security ndio key issue kwa watu wanaokadiria kufikia billion 8 duniani. Hawajakurupuka Hao economic giant individuals kujiingiza kwenye kulima na kufuga, mark Zuckerberg ameanzisha largest farm where he feeds his dairy cattle macadamia plants and drinks his cattle beers 🍻 😀
 
Back
Top Bottom