Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu kwa ajili ya viwanda vyake na ziada atauza.Analima nini? Shida Mo kama mashabiki wa simba, anapenda kubembelezwa sanaaa
Tulipo fika kama dunia na ukiongeza na hizi inflation, huu uchumi uliojengwa kwenye paper money unaweza collapse muda wowote. Wenye real estate tu ndiyo watakuwa salama.Mabilionea wanaonunua ardhi kwa kasi na kuanza intensive farming , Dangote ,Bill gates ,Bezos , Zuckerberg nk , wote wanauza hisa wanazomiliki kwenye makampuni yao na kuwekeza kwenye kujenga mahandaki na kuanzisha mashamba makubwa na ranch za wanyama ,
Kuna kitu kibaya duniani kinakuja kitaambatana na njaa kali na vifo wanakifahamu ,sisi commoners tunachukulia mambo kiwepesi ,
Wekeza kwenye ardhi ,hasa mashamba ya chakula na kufuga wanyama ,maana huko siku zinazokuja ,chakula kitakuwa zaidi ya dhahabu
uyogaAnataka kulima nini?
Kabisa , na wanasema kwa sasa ndio mmiliki mkubwa wa ardhi pale Marekani ,tena ardhi ya kilimo na ranch za wanyama , na bado anaendelea kununua kwa kasi kama mwehuBill Gates anahodhi zaidi hekari 260,000 huko America naona na MO kajiongeza
Unawajua commoners wenye njaa? Labda kama wafe wote ndo utalima na kuvuna bila matatizo. Ila kama wapo na njaa zinauma na una eka kumi za mahindi zitavunwa kabla hazijakomaa.Mabilionea wanaonunua ardhi kwa kasi na kuanza intensive farming , Dangote ,Bill gates ,Bezos , Zuckerberg nk , wote wanauza hisa wanazomiliki kwenye makampuni yao na kuwekeza kwenye kujenga mahandaki na kuanzisha mashamba makubwa na ranch za wanyama ,
Kuna kitu kibaya duniani kinakuja kitaambatana na njaa kali na vifo wanakifahamu ,sisi commoners tunachukulia mambo kiwepesi ,
Wekeza kwenye ardhi ,hasa mashamba ya chakula na kufuga wanyama ,maana huko siku zinazokuja ,chakula kitakuwa zaidi ya dhahabu
kusema tu atalima nini ni mpaka abembelezwe weee,,😅😂Analima nini? Shida Mo kama mashabiki wa simba, anapenda kubembelezwa sanaaa
Atawalisha wengi na ni biashara nzuriKabisa , na wanasema kwa sasa ndio mmiliki mkubwa wa ardhi pale Marekani ,tena ardhi ya kilimo na ranch za wanyama , na bado anaendelea kununua kwa kasi kama mwehu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
MpungaAnataka kulima nini?
RufijiHilo shamba litakuwa wapi?
Lazima awekeze karibu na maji mengiRufiji
Chache hizi anavuna mara nne ya hizoBillion 600 kwa kilimo
Mbabaishaji mashamba alishanunua serikalini kitambo lakini alikua akiyatumia kuchukulia mikopo!Mo anataka kuingia kwenye kilimo. Kapanga kuweka dola milioni 250 kulima ekari laki moja. Kila la kheri kwake.
View attachment 2943115
Dunia kijiji hata Canada unaishi unalima bongoNa hapo Mo ameshahamishia makazi yake Dubai U.A.E
Kama anarejesha pesa sio mbaya.Mbabaishaji mashamba alishanunua serikalini kitambo lakini alikua akiyatumia kuchukulia mikopo!