Mo Dewji kumiliki hisa za klabu ya Simba baada ya kuwa muwekezaji pekee aliejitokeza

Wewe chura kaa kimya tutanununua shida yako nn?
Wewe kuli wa Sokoni tumia kichwa kufikiri. Hiyo ni important fact inawekwa vizuri.

Maana kila kitu unaimba kama kasuku tu.
 
Utasikia "Simba Yetu FC" ...watu washachukua club hivyo..
 
Huo ni utaratibu wa kukwepa kodi.
 
Yaani mambo mengine maajabu,alikuwa na african lyon ikamshinda sasa afuata nn simba?kuna agenda ya siri
 
Mo atamilikishwa VP 51% wakati serikali imesema mwekezaji amiliki 49%!
Azam TV
5 hrs ·
Klabu ya Simba imemtangaza mfanyabiashara Mohammed Dewji kuwa mshindi wa zabuni ya asilimia 50 ya klabu hiyo kwa thamani ya Sh20 bilioni.

Baada ya kutangazwa, Dewji amesema kuwa ushindi wake ni ushindi wa Simba. "Sidhani kama kuna aliye na shaka juu ya ushabiki wangu juu ya Simba."

Pia ameahidi neema klabuni hapo akisema, "klabu yetu ina miaka 81 lakini hatuna hata kiwanja kimoja cha mazoezi. Tumetenga pesa kwa ajili ya kujenga viwanja viwili vya mazoezi, Mgahawa,Gym na hostel ya wachezaji.

"Tunatarajia kutenga zaidi ya bilioni moja kwa ajili ya usajili. Pia tunampango wa kufungua kutuo chetu cha TV."

https://www.facebook.com/
 
https://www.facebook.com/
 
Sawa
 
Kuna hisia sijui ni nzuri au mbaya kama ni mbaya achana nazo.

Wale walio ndani wenye kesi nahisi ndo walikua wanazuia huu mpango baada ya hili zoezi nao watatoka ndani na kukuta mwenye nyumba keshachukua nyumba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…