Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Wewe kuli wa Sokoni tumia kichwa kufikiri. Hiyo ni important fact inawekwa vizuri.Wewe chura kaa kimya tutanununua shida yako nn?
Maana kila kitu unaimba kama kasuku tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kuli wa Sokoni tumia kichwa kufikiri. Hiyo ni important fact inawekwa vizuri.Wewe chura kaa kimya tutanununua shida yako nn?
Kapiga magoti kuomba msamaha.Bi Hindu hawezi kubali kunyang'anywa timu yake
Dua la kukuTujipe mwaka mmoja tu. Mo wa Mbagala Market na Singida United ndiyo huyu huyu
Huo ni utaratibu wa kukwepa kodi.Is it possible for company A to own 20% (for example) of company B's shares, whilst company B owns, say, 20% of company A's shares as well?
Edit: If So, would it be possible then for more then 50%, that is A owning B controlling stake while B also owing A controlling stake as well?
Yes, this can and does certainly happen.
When two companies each own stock in each other, it's called a cross holding.
mambo ya accacia na barrik....Huo ni utaratibu wa kukwepa kodi.
Azam TVMo atamilikishwa VP 51% wakati serikali imesema mwekezaji amiliki 49%!
Bilionea Mohammed Dewji, amepita katika mchakato wa uwekezaji wa klabu ya Simba na ofa yake ya Sh bilioni 20.
Dewji amejitokeza na kuwa muwekezaji pekee ambaye aliweka dau la Sh bilioni 20 kupata hisa asilimia 51.
Hata hivyo, baada ya mchakato huo makubaliano yalikuwa ni hisa 49 anazoruhusiwa kuchukua kwa kitita hicho cha Sh bilioni 20.
Mwenyekiti wa kamati ya mchakato huo zabuni, Jaji mstaafu Thomas Mihayo amesema, Mo Dewji amepita na kitachofuatia ni majadiliano mengine baada ya mkutano wa leo.
“Mohammed Dewji ndiye mshindi, maana katika kamati yetu. Hivyo yeye ndiye amekuwa mshindi wa kuwania kuwekeza katika klabu ya Simba. Baada ya mkutano huu kutakuwa na majadiliano,” alisema.
Mkutano huo wa wanachama bado unaendelea Katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Posta jijini Dar es Salaam.
Kwa hisani ya Saleh Jembe
=======
Wanachama wanazidi kumiminika. Mabadiliko makubwa kutokea
Kaimu rais wa Simba Sports Club Salum Abdallah anawahutubia wanachama waliohudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa klabu hiyo unaoendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa J.K Nyerere, Dar es Salaam.
Updates
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kumtafuta mwekezaji Jaji Mstaafu Thomas Mihayo anazungumzia mchakato mzima uliowezesha kumpata mwekezaji katika klabu ya Simba katika Mkutano Mkuu Maalum unaoendelea hivi sasa.
Simba App iko LIVE, unaweza kuangalia kwa ku-Update Simba App yako na moja kwa moja utaweza kufuatailia mkutano huu kupitia simu yako ya mkononi.
SawaMimi sikuuliza swali hilo in general mimi niliuliza particularly situation ya simba kwa sasa na kile ulichodai kuhus. Mo as a person na Mo as MeTL. Ulisema aliyechukua hisa ni MeTL au ni MO personally
Hapo ndio nilitaka kujua zaidi swala hilo kuhusu simba na siyo General.
Azam miaka kumi VPL mara moja...Leicester city wasingekuwa mabingwa...mjiandae kisaikolojiaHata ingeuzwa kwa baniani sisi tunataka ushindi na burdani
LiboloKwenu lini? Maana Simba SC atapambana nani sasa?