Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujipe mwaka mmoja tu. Mo wa Mbagala Market na Singida United ndiyo huyu huyuAtakua ametufanya mambumbumbu wa dunia
Ndiooaisee. Makampuni nayo yananunua hisa?
Eti "Makofia"...nishamjua unayemwongelea!Apewe tu hamna namna nyingine. Wajanja Wamekula sana pesa yake.
BUT mark my words. Baada ya mwaka au kabla, ataiuza kwa hela ndefu.
Wale wenye timu yao akina Makofia watabakia kupiga kelele tu.
Nilikuwa sijui. Japo hujanipatia reference. Japo mimi nasikia wengine watakao nunua ni wanachama. Sijajua kama company linaweza kuwa mwanachama wa club. Nahitaji maelezo zaidi.Ndioo
Limited company ni legal entity.ni person.anaweza kununua hisa..kuuza..na hata kuhamisha shares.Nilikuwa sijui. Japo hujanipatia reference. Japo mimi nasikia wengine watakao nunua ni wanachama. Sijajua kama company linaweza kuwa mwanachama wa club. Nahitaji maelezo zaidi.
Nilikuwa sijui. Japo hujanipatia reference. Japo mimi nasikia wengine watakao nunua ni wanachama. Sijajua kama company linaweza kuwa mwanachama wa club. Nahitaji maelezo zaidi.
Hapa nadhani kunadhana moja bado hujaielewa. Zile 50% anapewa muwekezaji lakini zile zingine ni kwaajili ya wanachama. Tayari 50% za muwekezaji MO kachukua zinazobaki ni wanachama. Swali langu lilikuwa ni Je, company inaweza kuwa na card ya club? Naomba ufafanuzi tu hapo mimi siyo mtaalam.Limited company ni legal entity.ni person.anaweza kununua hisa..kuuza..na hata kuhamisha shares.
Mambo ya uanachama ndiyo unakufa hivyo. Sasa wanunue hisa wawe wamiliki kwa njia hiyo. Watabaki kuwa mashabiki tu. Mo atapanga safu yake ya kuongoza kampuni. Hakuna tena mikutano ya kumng'oa mtu. Ukubwa wa hisa ndiyo kura yenyeweNilikuwa sijui. Japo hujanipatia reference. Japo mimi nasikia wengine watakao nunua ni wanachama. Sijajua kama company linaweza kuwa mwanachama wa club. Nahitaji maelezo zaidi.
Hapa sijakuelewa vizuri. Japo mimi nilikuwa nimeuliza kama company inaweza kuwa mwanachama wa team. Kama inawezekana basi VODACOM anaweza kuwa mwanachama wa simba na kununua hisa kama mwanachama.Is it possible for company A to own 20% (for example) of company B's shares, whilst company B owns, say, 20% of company A's shares as well?
Edit: If So, would it be possible then for more then 50%, that is A owning B controlling stake while B also owing A controlling stake as well?
Yes, this can and does certainly happen.
When two companies each own stock in each other, it's called a cross holding.
Nadhani mimi hapa sijaongelea swala hilo. Ungefuatilia kidogo uelewe tunaongelea nini.Mambo ya uanachama ndiyo unakufa hivyo. Sasa wanunue hisa wawe wamiliki kwa njia hiyo. Watabaki kuwa mashabiki tu. Mo atapanga safu yake ya kuongoza kampuni. Hakuna tena mikutano ya kumng'oa mtu. Ukubwa wa hisa ndiyo kura yenyewe
Mimi sipo huko kwenye hisa za simba.mimi nilikuwa najibu swali lako kwamba kampuni inaweza kumiliki hisa?Hapa nadhani kunadhana moja bado hujaielewa. Zile 50% anapewa muwekezaji lakini zile zingine ni kwaajili ya wanachama. Tayari 50% za muwekezaji MO kachukua zinazobaki ni wanachama. Swali langu lilikuwa ni Je, company inaweza kuwa na card ya club? Naomba ufafanuzi tu hapo mimi siyo mtaalam.
Mimi sikuuliza swali hilo in general mimi niliuliza particularly situation ya simba kwa sasa na kile ulichodai kuhus. Mo as a person na Mo as MeTL. Ulisema aliyechukua hisa ni MeTL au ni MO personallyMimi sipo huko kwenye hisa za simba.mimi nilikuwa najibu swali lako kwamba kampuni inaweza kumiliki hisa?
Anza kwanza kumuuza mkeobado nyie washabiki wa Simba tutawapeleka Libya mkauzwe huko
Baba yako akiwa nguruwe pori, usidhani ni kila mtu. Hijo de puta!
Wewe chura kaa kimya tutanununua shida yako nn?Mo atamiliki 49% kwa hiyo billion 20. Wengine mjiandae kununua hizo 51% zaidi ya billion 20