Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Manji...ana hisa 99% za tigo...20b mmepigwa ....Yanga muuzieni Rostam hisa asilimia 76 hizo nyingine ziwe za wanachama....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manji...ana hisa 99% za tigo...20b mmepigwa ....Yanga muuzieni Rostam hisa asilimia 76 hizo nyingine ziwe za wanachama....
Mo rasmi kashinda tenda!!!
Hivi kukodisha kwa timu ya Ndala FC kama masufuria ni lini? Maana Simba SC tayari imeuzwa.
Kwenu lini? Maana Simba SC atapambana nani sasa?
Mo atamiliki 49% kwa hiyo billion 20. Wengine mjiandae kununua hizo 51% zaidi ya billion 20
Tujipe mwaka mmoja tu. Mo wa Mbagala Market na Singida United ndiyo huyu huyu
Yanga muuzieni Rostam hisa asilimia 76 hizo nyingine ziwe za wanachama....
Hapa nadhani kunadhana moja bado hujaielewa. Zile 50% anapewa muwekezaji lakini zile zingine ni kwaajili ya wanachama. Tayari 50% za muwekezaji MO kachukua zinazobaki ni wanachama. Swali langu lilikuwa ni Je, company inaweza kuwa na card ya club? Naomba ufafanuzi tu hapo mimi siyo mtaalam.
Mambo ya uanachama ndiyo unakufa hivyo. Sasa wanunue hisa wawe wamiliki kwa njia hiyo. Watabaki kuwa mashabiki tu. Mo atapanga safu yake ya kuongoza kampuni. Hakuna tena mikutano ya kumng'oa mtu. Ukubwa wa hisa ndiyo kura yenyewe
Wanachama wanaolipiwa ada ya uanachama hawawezi kununua hisa hata siku moja.Sioni hizo hisa za asilimia 51 zikinunuliwa na wanachama zote. Ikiwa michango ya kadi ya buku buku kwa mwaka ilikuwa tatizo.
Ngoja kwanza wakose ndoo ya VPL.Kwenye ulimwengu wa Hisa mwanachama = Shabiki.
yanga hatushindani tena na simba...wapinzani wetu ni t p mazembe, esperenceTutakuwa tunawafunga yanga kama watoto wadogo