Watanzania wengi tu wanaweza kufanya hivyo. Kwani wanywa bia ni akina nani?Watanzania Ambao Maisha Magumu? Wataingia Uwanjani mashabiki elfu 60 lakini wanao Lipia Kadi Utaona ni 100 wenye Uwezo.
Mpira unalipa lakini kwa Tanzania Bado
Matangazo kwenye biashara ni lazima yawe wastani wa 30% ya operational costs.Ingekuwa Tanzania Matangazo yanalipa Sahizi Clouds Isingekuwa Pale Ilipo. TBC Isingekuwa Vile Wala ITV.
ITV ndio Kituo cha Television Ambacho, Kianaongoza kwa Kufuatiliwa katila Habari ya Saa Mbili Usiku. Lakini Nani Kaweka Matangazo pale wakati wa Habari ya Kueleweka? Tanzania Hatujafikia Kwenye Advertisment kwasababu Ya Hali ya Uchumi.
Mkuu BEP hiyo ataipataje kwenye UWEKEZAJI?? Katika kesi hii anasubiri PBP (PAYBACK PERIOD) na sio BEP. In fact BEP ni ile hali ambayo REVENUE = COST.Mkuu niumie kwa vipi. mimi ni mchumi na mhasibu,nauelewa mkubwa sana kuhusu biashara. Mwekezaji kaeleza changamoto za biashara na kwamba haijaanza kulipa. Lakini ameonyesha nia ya kuendelea kuwekeza angalau kufikia break even point. Kwa nini iwe tatizo
Ndo unavyo jidanganya hivyoClub za EPL zinaendeshwa kwa hasara, sembuse Simba ya mavumbini. Mo yuko sahihi.
Wengi wanaopiga kelele hapa ya kumponda MO, ni wale wanaotaka Simba iharibikiwe!Ndo hoja yangu na mimi hii
Watu wanabeza tu hawajui uchungu wa kutoa pesa
Sijui kwann mashabiki wa simba Hesabu inawapiga chenga, sielewi kwa nn hataHapa billion watu wanaizungumzia kama buku. 20B ukiwa unakuka kila siku 1,000,000 utakula miaka 56.
20B mzee ni pesa ndefu sana asikwambie mtu. Hapa kuna halmashauri zimepewa 400m kila moja kujenga vituo vya afya. 20B unajenga , unasambaza halmashauri 50.Sijui kwann mashabiki wa simba Hesabu inawapiga chenga, sielewi kwa nn hata
Hajui kitu huyo wala usimwambie kama tulikuwa tunanunua mechi zetu na baadhi zinazoihusu Uto. Yeye anadhani hela ya Moo ndio inaleta ushindi automatically. KALAGABAHOAcha tu nikuache kwasababu hujijui kama hujui na yaliyomo ndani ya Simba pia hujui.
hata nikikujuza hapa ntawapa faida Utopolo mahasimu wa Simba wapate pa kuanza zengwe kwa Simba yangu.
Basi yameisha mkuu.