Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Watanzania wengi tu wanaweza kufanya hivyo. Kwani wanywa bia ni akina nani?Watanzania Ambao Maisha Magumu? Wataingia Uwanjani mashabiki elfu 60 lakini wanao Lipia Kadi Utaona ni 100 wenye Uwezo.
Mpira unalipa lakini kwa Tanzania Bado
Unahitaji motivation kujua timu yenye bajeti ya 25bn a year itakuletea raha gani.
Ukiwa na timu kubwa, automatically utaona timu kubwa zikija bongo. Bia Moja au mbili Kwa mwezi kuweka kwenye timu mbona inawezekana? Ni akili za kinyonge ndiyo zinatusumbua.