Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara, nimeshatoa Bilioni 45

Sasa si aombe usaidizi kwa wanachama....
 
Huo Ni ukweli Kuwekeza Kwenye Timu yoyote Tanzania Ni Hasara. Kwa Mfanya Biashara Ambaye Yuko Serious Ataelewa Hili.

Kwasababu Timu Za Tanzania Matumizi ni Makubwa kuliko Faida. Tuwe Realistic Tuuu na Tuache Ushabiki Kwasababu Mo Kaongea. Ukweli Kuwekeza Ni Hasara. Wewe Unawekeza Timu ya Tanzania, Haina Mashindano yoyote inayo shiriki zaidi Ya Ligi kuu Tanzania. Washabiki Wanao Enda Uwanjani Ndio Hao. Ligi inaangaliwa na Watanzania Tuu. Nani Utamtangazia Biashara zako. So ni Hasara 100% wanao wekeza wanafanya Kwa Mapenzi yao Tuu. Hivi uwekeze Billioni 100 Simba Au Yanga Itarudi Lini na Kwa njia Gani? Ndio maana Mdhamini wa Ligi anawekeza 2.5 Billioni hela Ambayo ni Mshahara wa Mchezaji wa Al -Ahaly. Hata hawa NBC hawana Muda Mrefu watajiondoa
Mkuu, huu ndio ukweli! Nawashangaa wanaodai MO anapata faida kubwa kwa matangazo.
Tumeona GSM alikuwa anatangaziwa na timu 15,lakini akaona hakuna kitu, na kuamua kumwaga manyanga!
 
Huo Ni ukweli Kuwekeza Kwenye Timu yoyote Tanzania Ni Hasara. Kwa Mfanya Biashara Ambaye Yuko Serious Ataelewa Hili.

Kwasababu Timu Za Tanzania Matumizi ni Makubwa kuliko Faida. Tuwe Realistic Tuuu na Tuache Ushabiki Kwasababu Mo Kaongea. Ukweli Kuwekeza Ni Hasara. Wewe Unawekeza Timu ya Tanzania, Haina Mashindano yoyote inayo shiriki zaidi Ya Ligi kuu Tanzania. Washabiki Wanao Enda Uwanjani Ndio Hao. Ligi inaangaliwa na Watanzania Tuu. Nani Utamtangazia Biashara zako. So ni Hasara 100% wanao wekeza wanafanya Kwa Mapenzi yao Tuu. Hivi uwekeze Billioni 100 Simba Au Yanga Itarudi Lini na Kwa njia Gani? Ndio maana Mdhamini wa Ligi anawekeza 2.5 Billioni hela Ambayo ni Mshahara wa Mchezaji wa Al -Ahaly. Hata hawa NBC hawana Muda Mrefu watajiondoa
Hebu tafakari...

Azam Media wana Mkataba na Yanga wa Billions of TSh kwa MAUDHUI peke yake!!!

Je, unaamini Azam Media hawana akili hadi wawekeze pesa zote hizo kwa ajili ya maudhui peke yake?

Kwavile Yanga na Simba wana almost the same market power, sasa assume Mwamedi angekuwa ndie Mmiliki wa Yanga! Kwamba, anamiliki timu inayokula mkataba wa zaidi Sh 40 Billion (kwa miaka 10) kwa maudhui peke yake!!

Sasa linganisha huo mkataba wa Billion 40 na hiyo Billion 45 inayompa umiliki wa 49% of the club huku bado kila wakati akiendelea kulia lia kwamba anapata hasara!! Hapo hujataja mikataba ya haki za matangazo, uuzaji jezi, mikataba mingine kama ile ya SportsPesa na gharama ambayo angeingia kutangaza bidhaa kama asingekuwa anatumia Brand ya Simba!!
 
Yaani pesa ya Mwamedi full masimango...

Mwamedi wanafanana sana na Manji lakini yupo tofauti sana na GSM ambae anaona thamani anayoipata kupitia kupitia Yanga!!
 
Huo Ni ukweli Kuwekeza Kwenye Timu yoyote Tanzania Ni Hasara. Kwa Mfanya Biashara Ambaye Yuko Serious Ataelewa Hili.

Kwasababu Timu Za Tanzania Matumizi ni Makubwa kuliko Faida. Tuwe Realistic Tuuu na Tuache Ushabiki Kwasababu Mo Kaongea. Ukweli Kuwekeza Ni Hasara. Wewe Unawekeza Timu ya Tanzania, Haina Mashindano yoyote inayo shiriki zaidi Ya Ligi kuu Tanzania. Washabiki Wanao Enda Uwanjani Ndio Hao. Ligi inaangaliwa na Watanzania Tuu. Nani Utamtangazia Biashara zako. So ni Hasara 100% wanao wekeza wanafanya Kwa Mapenzi yao Tuu. Hivi uwekeze Billioni 100 Simba Au Yanga Itarudi Lini na Kwa njia Gani? Ndio maana Mdhamini wa Ligi anawekeza 2.5 Billioni hela Ambayo ni Mshahara wa Mchezaji wa Al -Ahaly. Hata hawa NBC hawana Muda Mrefu watajiondoa
Hujajibu swali la jamaa hapo juu halafu liko wazi kabsa ila naona unalikwepa kwa maksudi. Jamaa kauliza hivi leo hii akitokea mtu anataka kuweka 40B, Mo atakubali kuiachia kwakua anasema anapata hasara kuindesha Simba SC?!
 
Hata kama ni kweli hamna mfanyabiashara atasema anapata faida kwenye sehemu yenye faida ili wengine wasiwe interested.

Leo akitokea mwingine akisema anataka awekeze bil 40 Simba je Mo ataachia kwa ajili anapata hasara?
Nakuhakikishia nini bilioni 40 hata wa bilioni 10 hawezi jitokeza
 
Yaani pesa ya Mwamedi full masimango...

Mwamedi wanafanana sana na Manji lakini yupo tofauti sana na GSM ambae anaona thamani anayoipata kupitia kupitia Yanga!!
Umeshasahau maneno ya injinia eeh
 
Hata kama simba hampi faida ya moja kwa moja kama investment ila kuna faida nyinginezo ambazo anazipata kupitia brand ya Simba.
 
Hakuna mfanyabiashara yeyote mwenye akili anyewekeza mahala anapopata hasara!!! Mo anawafanya mashabiki wa Simba hamnazo; mtakuja kukumbuka maneno ya Kingwangalla!

Tukiacha uongo kwa sasa simba na yanga ni team za hasara but watu wanaweka pesa coz of their potential in future
After 10 years kama wataweza kuzitransform vizuri basi zitakuwa zinawapa mabillion ya pesa
 
Oscar Oscar mjinga sana

F30BEB62-A581-425B-A205-1C86030430BA.jpeg
 
Back
Top Bottom