Mo Dewji, msimu ujao tenga milioni 500 za ubingwa, baada ya hapo Yanga na GSM hawatakusumbua tena

Ule Uzi kuwa JF Sports wamejaa wajinga umeuona?
Nimeuona ila sijaufungua na sijausoma maana nilijua ni upuuzi mtupu. Kuna watu mngepewa muiendeshe JF ingekufa baada ya siku mbili.

JF ipo mpaka leo kwa sababu ya uhuru uliopo na uliotolewa. Kama mchangiaji au uzi hauuelewi unapita tu kimya kimya. Mbona simpo tu?
 
Hahahaha,ujue Nini nimeamini kweli JF Sports ni wajinga wajinga wengi, hapo bado nyuzi ya kishirikina , kifupi mko wengi humu wajinga wajinga
 
Hahahaha,ujue Nini nimeamini kweli JF Sports ni wajinga wajinga wengi, hapo bado nyuzi ya kishirikina , kifupi mko wengi humu wajinga wajinga
Poa poa. Mngepewa JF muiendeshe mngetaka watu walete vyeti ndiyo muwapitishe. Picha lingeanza mngeshangaa mnaoita wajinga wajinga wanawazidi kila kitu nyie werevu kuanzia kielimu, kiuchumi, kiroho, kishirikina, kiserikali, nk.
 
Poa poa. Mngepewa JF muiendeshe mngetaka watu walete vyeti ndiyo muwapitishe. Picha lingeanza mngeshangaa mnaoita wajinga wajinga wanawazidi kila kitu nyie werevu kuanzia kielimu, kiuchumi, kiroho, kishirikina, kiserikali, nk.
Humu ktk sports we na wenzio hkn mnanizidi labda ujinga ujinga kama huu
 
Utawaponza jamii forums
We unaita kampuni ya mtu wahuni
Kisa upofu wako wa ushabiki wa mpira
Wazazi nje ya haya mashabiki
Sio sawa kuwaita GSM wahuni
Ni kweli kabisa, mtu anaanzisha uzi kuchafua brand za watu kutokana na ushabiki wa kijinga tu. Maudhui ya uzi ni kuwa GSM na Yanga wanapanga matokeo ya mechi. Shida inakuwa ni mtu aliyetoa hayo madai kifedha hajiwezi hivyo kumshtaki hawezi kulipa chochote, labda umfunge kama "civil prisoner", ambapo ni wewe unabeba jukumu la humhudumia akiwa ndani.
 
Huoni aibu wewe binti kumwambia mwanaume atege m 500 kwani wewe huwezi kuzitenga acha kumpangia binadamu mwenzako matumizi ya pesa zake .[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Hivi akili hua mnaziweka kwenye tako la upande gani mkuu????

Halafu Ndio Watu Kama Wewe Mnawaza Mabadiliko...

Tumbavu...!!!!
 
Hivi vijana wa mangungu uwa mnafikiria kwa kutumia nini? Kwa akili zako tu finyu ubora wa kikosi cha Simba unalinganisha na ubora wa kikosi cha yanga kwenye kupambania matokeo popote pale? Iwe kwa mchezaji Mmoja Mmoja Simba mna kikosi Gani cha kubattle na yanga nyie? Yanga anapata matokeo kutokana na quality yake na sio pumba ulizoziandika hapa za gsm sijui anafanyaje na kutokubali mnazidiwa pakubwa kiubora na yanga na mkawekeza kwenye propaganda za maji taka na mkashindwa kufanya usajili wa maana kuboresha kikosi mtakuwa mnatoa milio Kila siku iendayo kwa mungu,,wenzako wanasajili kina pacome wewe unaenda kuwaleta kina mutale alafu utegemee kupata ubora ule ule walionao wenzako si utahaira huo!
 
Hili ndilo kosa lilipotokea hata Vichaa mnaandika chochote tu hapa JF kisa Uhuru

Anyway MO amesikia.
 
Unasikitisha sana sasa unasema upinzani unawajenga halafu tena unaona kuna ubaya wewe kichwani zimo kweli?
Ligi kuu ni kitu gani wakati wewe upinzani umekufanya umechukua ubingwa wa Africa na umecheza fainali ya klabu bingwa Africa mara nne mfululizo.
 
Kirahisi namna hii?
 
Ubaya Ubwela
 
Una ushauri wa kipumbavu sana. Yanga wana timu nzuri kuliko sisi kwa misimu mitatu mfululizo. Kama sisi simba tumeshindwa kumfunga yanga unategemea Pamba atamfunga Yanga?
 
Mkuu naona umeanza kuwa kama Gentamycin.
 
Kila mtu ashinde mechi zake. We shinda zote uone kama hutapata ubingwa.

Unafungwa na Yanga unasingizia GSM, ukiongoza ligi UBAYA UBWELA.

Singida anafungwa na YANGA, unaanza kuwapangia kikosi. Kama kikosi ni ishu kwenu kwanini nyie mliburuzwa? SHINDA MECHI ZAKO ZOTE UTAKUWA BINGWA
 
GSM anadhamini timu nane,katika timu hizo nane,kila moja inapata,vifaa vya michezo,posho,usafiri na pesa kwa kipindi chote cha msimu husika, wewe unakuja na milioni moja yako katika mechi moja,na wakiipokea inamaanisha wamekataa posho,usafiri,pesa na vifaa vya michezo vya msimu mzima jambo linaloweza kuathiri pakubwa msimu mzima,katika hali hiyo timu zitakubali kuchukua hiyo 1m kisha zinafumuliwa kisawasawa na yanga halafu hamna pa kuwapeleka,mkipiga kelele TAKUKURU wapo macho kweli kweli mtaishia korokoroni. wekezeni kwa marefarii tu na mkae mkijua ARAJIGA AHMED hahongwi. Ni hayo tu mkuu SAYVILLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…