GSM anadhamini timu nane,katika timu hizo nane,kila moja inapata,vifaa vya michezo,posho,usafiri na pesa kwa kipindi chote cha msimu husika, wewe unakuja na milioni moja yako katika mechi moja,na wakiipokea inamaanisha wamekataa posho,usafiri,pesa na vifaa vya michezo vya msimu mzima jambo linaloweza kuathiri pakubwa msimu mzima,katika hali hiyo timu zitakubali kuchukua hiyo 1m kisha zinafumuliwa kisawasawa na yanga halafu hamna pa kuwapeleka,mkipiga kelele TAKUKURU wapo macho kweli kweli mtaishia korokoroni. wekezeni kwa marefarii tu na mkae mkijua ARAJIGA AHMED hahongwi. Ni hayo tu mkuu
SAYVILLE