Mo Dewji, msimu ujao tenga milioni 500 za ubingwa, baada ya hapo Yanga na GSM hawatakusumbua tena

Mo Dewji, msimu ujao tenga milioni 500 za ubingwa, baada ya hapo Yanga na GSM hawatakusumbua tena

Wote hao ulowapiga nyingi ni matawi yenu ,GSM family, timu huru zimekufunga ,umesuluhu au umepata ushindi dhaifu wa papatu yaani Unga Unga mwana.
Kwa hio hoja ya kufunga magoli mengi ya kununua haina mashiko yoyote hapo.
Kwahiyo 51mba aliyepigwa tano na Yanga ni tawi letu? Ok, timu huru 51mba tumeifunga mfululizo mara nne, unasemaje hapo?
 
Dawa ni kuimarisha kikosi tu, bado tunashida katika safu ya ushambuliaji, nafasi tunazotengeneza ni nyingi mno kulinganisha na timu yoyote katika ligi yetu wakipatikana watu sahihi wa kuzibadili nafasi hizo kuwa magoli ubingwa hauna mjadala.
 
Back
Top Bottom