Mo Dewji, msimu ujao tenga milioni 500 za ubingwa, baada ya hapo Yanga na GSM hawatakusumbua tena

Kwani Mo ni mmiliki wa Simba? Akili kisoda.
 
Kwani mmeshamaliza kujenga team hadi mnawaza ubingwa?
 
Ila mnajiaminiii...kitawakuta kitu aisee
Historia nne zinatubeba kama ifuatavyo;
1. Tumekupiga mara nne mfululiza katika mechi zilizopita
2. Tumepiga watu nne nne, tano tano na sita sita m,echi za hivi karibuni
3. Tulikutwanga tano tano kaika moja ya mechi nne zilizopita
4. Tumemtwanga muha yule wa kigoma magoli mengi, ambaye nyie mlibebwa kwake.
 
mpira utaharibika zaid kama usimba na uyanga utakuzwa kwa wadhamin kununua ligi kabisa , bora TFF wakae waweke taratib za udhamini ili ligi moja isimilikiwe na mtu mmoja
 
mpira utaharibika zaid kama usimba na uyanga utakuzwa kwa wadhamin kununua ligi kabisa , bora TFF wakae waweke taratib za udhamini ili ligi moja isimilikiwe na mtu mmoja
Yaani, kwa coment hii, inaonyesha dhahili kuwa hujui tofauti ya udhamini na umiliki
 
Pointless...
Hayo magoli ya kupewa na GSm wenzenu?.
Hyo mechi ya juzi unahesabia kwamba ulinifunga au tuliwapa goli kwa kujifunga na man of the match alikua mjomba yenu kayoko....?
Zile 5 kwa moja tulijua nini kilisababisha kwa sbb mlinunua baadhi ya wachezaji hili liko wazi kama tupu ya nyani..ukitaka kujua zaidi kamuulize Aly kamwe...
So dear Utobwenzi...msije na matokeo yenu
 
Tunasubiri tena mseme GSM au mhamie Ligi ya Zenji au Burundi
 
Hakuna muekezaji Muhindi kwenye tasnia ya Soka
Siyo kweli. Man City na Southampton ni mifano miwili ya haraka ya uwekezaji wa wahindi katika soka.

Kama hadi Mchina anawekeza kwenye soka ndiyo isiwe Muhindi?
 
Moderators mnaruhusu hizi za kipumbavu
GSM ni mfanyabiashara na mwekezaji
Ni mlipa Kodi mkuu wa serikali
Leo member anasema eti hii kampuni ya GSM ni wahuni
Mkipelekwa mahakamani na haya maandiko yA kuichafua GSM Kwa kuwaita wahuni msilalamike
Wewe na huyo gsmu wasengeeee..tu
 
Wote hao ulowapiga nyingi ni matawi yenu ,GSM family, timu huru zimekufunga ,umesuluhu au umepata ushindi dhaifu wa papatu yaani Unga Unga mwana.
Kwa hio hoja ya kufunga magoli mengi ya kununua haina mashiko yoyote hapo.
 
Huwezi kutoa pesa ya biashara ikashindana na pesa iliyochepushwa serikalini.
Nyuma mwiko waache tu kuna muda wao hizo pesa hawatazipata tena

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kutoa pesa ya biashara ikashindana na pesa iliyochepushwa serikalini.
Nyuma mwiko waache tu kuna muda wao hizo pesa hawatazipata tena

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Unatumia infinix lakini kutwa nzima kumtukana GSM 😅😀
Nunua simu infinix ni simu za ma house girl
 
Siyo kweli. Man City na Southampton ni mifano miwili ya haraka ya uwekezaji wa wahindi katika soka.

Kama hadi Mchina anawekeza kwenye soka ndiyo isiwe Muhindi?
Man city gani unaizungumzia?
Hii ya Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan au Kama ni hii nenda tena chimbo mkuu,
Nakuheshimu sana kwa profile yako hupaswi kuongea haya
 
Man city gani unaizungumzia?
Hii ya Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan au Kama ni hii nenda tena chimbo mkuu,
Nakuheshimu sana kwa profile yako hupaswi kuongea haya
Mtafute Mukesh Ambani utajua uwekezaji wake na uhusika wake kwenye soka. Kusema hakuna wahindi kwenye tasnia ya soka ni upotoshaji.
 
mpira utaharibika zaid kama usimba na uyanga utakuzwa kwa wadhamin kununua ligi kabisa , bora TFF wakae waweke taratib za udhamini ili ligi moja isimilikiwe na mtu mmoja
Ni zama za ubaya ubwela
 
Huwezi kutoa pesa ya biashara ikashindana na pesa iliyochepushwa serikalini.
Nyuma mwiko waache tu kuna muda wao hizo pesa hawatazipata tena

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Waache pesa ziwatoke ziwafaidishe timu ndogo. Tena kwa kuwa ni pesa za umma hazitawauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…